IMS Tanzania Union

IMS Tanzania Union K**a Kanisa, dhima yetu ni kuitangaza kweli ya Neno la Mungu na Injili ya Yesu iletayo tumaini kamili kwa wanadamu.

IMS SDA Church | Reform Movement | Union ya Tanzania

✨ NURU YA MILELETunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.🎤 Mnenaji Maalum...
10/08/2026

✨ NURU YA MILELE

Tunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.

🎤 Mnenaji Maalum: Mch. Peter Paulo

📍MAHALI: Google Meet
📅 TAREHE: Jumanne, 11 Agosti 2026
⏰ MUDA: 2:00 usiku hadi 3:00 usiku

Usipange kukosa, mualike na jirani yako, ifikapo saa 2:00 usiku jiunge kwa kubonyeza link hii: meet.google.com/cxe-fjwz-azd

International Missionary Society
Seventh-day Adventist Church
Reform Movement
Union ya Tanzania
www.imstanzania.org

✨ NURU YA MILELETunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.🎤 Mnenaji Maalum...
04/08/2026

✨ NURU YA MILELE

Tunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.

🎤 Mnenaji Maalum: Dkt. Benjamin Mashauri - Mtunza Hazina wa Field ya Nyanza

📍MAHALI: Google Meet
📅 TAREHE: Jumanne, 4 Agosti 2026
⏰ MUDA: 2:00 usiku hadi 3:00 usiku

Usipange kukosa, mualike na jirani yako, ifikapo saa 2:00 usiku jiunge kwa kubonyeza link hii: meet.google.com/thu-mpko-hez

International Missionary Society
Seventh-day Adventist Church
Reform Movement
Union ya Tanzania
www.imstanzania.org

Tunamshukuru Mungu kwa mafanikio ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Field ya Magharibi. Kuanzia tarehe 16–17 Julai 2026, Mku...
04/08/2026

Tunamshukuru Mungu kwa mafanikio ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Field ya Magharibi. Kuanzia tarehe 16–17 Julai 2026, Mkutano Mkuu wa Uchaguzi ulifanyika Sumbawanga Mjini, ukisimamiwa na Mch. Ibrahim Sanga (Kiongozi wa Idara ya Familia ya Union) na Mch. Paschal Yohana (Kiongozi wa Field ya Nyanza).

Baada ya usomaji wa taarifa za viongozi na maafisa wa Field, vipindi vya maswali na majibu pamoja na uvuaji wa ofisi, wajumbe kutoka makanisa mbalimbali walikamilisha zoezi la uchaguzi wa viongozi watakaoiongoza Field kwa kipindi cha miaka mitatu yaani 2026 hadi 2029.

Katika ibada ya Sabato, tarehe 18 Julai 2026, waumini kutoka makanisa ya Field ya Magharibi walikusanyika kanisani Sumbawanga Mjini, ambapo viongozi wapya walitambulishwa na kuapishwa rasmi kwa ajili ya kuanza majukumu yao.

Sambamba na viongozi wa idara na majukumu mbalimbali, viongozi wakuu waliochaguliwa ni:
• Kiongozi wa Field: Mch. James Chamba
• Makamu Kiongozi: Mz. Abeli Kanoni
• Katibu: Mz. Gabriel Athanas
• Mtunza Hazina: Stefano Kwigima

Pichani ni kusanyiko la ibada ya Sabato lililowakutanisha waumini, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi, viongozi na maafisa waliomaliza muda wao wa uongozi, pamoja na viongozi na maafisa wapya waliochaguliwa wa Field ya Magharibi.

Tunaendelea kuwaombea viongozi hawa pamoja na timu nzima ya uongozi ili Mungu awaongoze, awajalie hekima na uaminifu wanapoendelea kulitumikia Kanisa na kuendeleza utume wa Injili.

✨ NURU YA MILELETunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.🎤 Mnenaji Maalum...
30/07/2026

✨ NURU YA MILELE

Tunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.

🎤 Mnenaji Maalum: Dkt. Benjamin Mashauri - Mtunza Hazina wa Field ya Nyanza

📍MAHALI: Google Meet
📅 TAREHE: Alhamisi, 30 Julai 2026
⏰ MUDA: 2:00 usiku hadi 3:00 usiku

Usipange kukosa, mualike na jirani yako, ifikapo saa 2:00 usiku jiunge kwa kubonyeza link hii: meet.google.com/efz-ivjp-ofm

International Missionary Society
Seventh-day Adventist Church
Reform Movement
Union ya Tanzania
www.imstanzania.org

✨ NURU YA MILELETunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.🎤 Mnenaji Maalum...
28/07/2026

✨ NURU YA MILELE

Tunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.

🎤 Mnenaji Maalum: Mch. Justin Bwalya - Makamu Kiongozi wa Union

📍MAHALI: Google Meet
📅 TAREHE: Jumanne, 28 Julai 2026
⏰ MUDA: 2:00 usiku hadi 3:00 usiku

Usipange kukosa, mualike na jirani yako, ifikapo saa 2:00 usiku jiunge kwa kubonyeza link hii: meet.google.com/nas-dxtz-udv

International Missionary Society
Seventh-day Adventist Church
Reform Movement
Union ya Tanzania
www.imstanzania.org

Tunamshukuru Mungu kwa mafanikio ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Field ya Arusha. Kuanzia tarehe 1–3 Julai 2026, Mkutano ...
28/07/2026

Tunamshukuru Mungu kwa mafanikio ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Field ya Arusha. Kuanzia tarehe 1–3 Julai 2026, Mkutano Mkuu wa Uchaguzi ulifanyika Maji ya Chai, makao makuu ya Field ya Arusha, ukisimamiwa na wawakilishi kutoka Union ya Tanzania, Mch. Bartholomew James na Mch. Peter Paulo.

Baada ya usomaji wa taarifa za viongozi na maafisa wa Field, vipindi vya maswali na majibu pamoja na uvuaji wa ofisi, wajumbe kutoka makanisa mbalimbali walikamilisha zoezi la uchaguzi wa viongozi watakaoiongoza Field kwa kipindi cha miaka mitatu yaani 2026 hadi 2029.

Katika ibada ya Sabato, tarehe 4 Julai 2026, waumini kutoka makanisa ya Field ya Arusha walikusanyika kanisani Maji ya Chai, ambapo viongozi wapya walitambulishwa na kuapishwa rasmi kwa ajili ya kuanza majukumu yao.

Sambamba na viongozi wa idara na majukumu mbalimbali, viongozi wakuu waliochaguliwa ni:
• Kiongozi wa Field: Mch. Enock Ndimangwa
• Makamu Kiongozi: Mz. Mweta Kajiru
• Katibu: Prosper Mbwambo
• Mtunza Hazina: Seth Mbwambo

Pichani ni kusanyiko la ibada ya Sabato lililowakutanisha waumini, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi, viongozi na maafisa waliomaliza muda wao wa uongozi, pamoja na viongozi na maafisa wapya waliochaguliwa wa Field ya Arusha.

Tunaendelea kuwaombea viongozi hawa pamoja na timu nzima ya uongozi ili Mungu awaongoze, awajalie hekima na uaminifu wanapoendelea kulitumikia Kanisa na kuendeleza utume wa Injili.

✨ NURU YA MILELETunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.🎤 Mnenaji Maalum...
17/07/2026

✨ NURU YA MILELE

Tunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.

🎤 Mnenaji Maalum: Mch. Enock Ndimangwa - Kiongozi wa Field ya Arusha

📍MAHALI: Google Meet
📅 TAREHE: Jumanne, 21 Julai 2026
⏰ MUDA: 2:00 usiku hadi 3:00 usiku

Usipange kukosa, mualike na jirani yako, ifikapo saa 2:00 usiku jiunge kwa kubonyeza link hii: meet.google.com/ece-wzqy-kke

International Missionary Society
Seventh-day Adventist Church
Reform Movement
Union ya Tanzania
www.imstanzania.org

✨ NURU YA MILELETunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.🎤 Mnenaji Maalum...
15/07/2026

✨ NURU YA MILELE

Tunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.

🎤 Mnenaji Maalum: Mch. Ibrahim Sanga - Kiongozi wa Idara ya Familia ya Union

📍MAHALI: Google Meet
📅 TAREHE: Alhamisi, 16 Julai 2026
⏰ MUDA: 2:00 usiku hadi 3:00 usiku

Usipange kukosa, mualike na jirani yako, ifikapo saa 2:00 usiku jiunge kwa kubonyeza link hii: meet.google.com/ufw-gvit-fjh

International Missionary Society
Seventh-day Adventist Church
Reform Movement
Union ya Tanzania
www.imstanzania.org

Tunamshukuru Mungu kwa mafanikio ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Field ya Nyanza. Kuanzia tarehe 1–3 Julai 2026, Mkutano ...
14/07/2026

Tunamshukuru Mungu kwa mafanikio ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Field ya Nyanza. Kuanzia tarehe 1–3 Julai 2026, Mkutano Mkuu wa Uchaguzi ulifanyika Sinai, makao makuu ya Field ya Nyanza, ukisimamiwa na Mch. Andrew Ndimangwa (Kiongozi wa Union) na Mch. Japhet Mbuba (Kiongozi wa Umishonari wa Union).

Baada ya usomaji wa taarifa za viongozi na maafisa wa Field, vipindi vya maswali na majibu pamoja na uvuaji wa ofisi, wajumbe kutoka makanisa mbalimbali walikamilisha zoezi la uchaguzi wa viongozi watakaoiongoza Field kwa kipindi cha miaka mitatu yaani 2026 hadi 2029.

Katika ibada ya Sabato, tarehe 4 Julai 2026, waumini kutoka makanisa ya Field ya Nyanza walikusanyika kanisani Sinai, ambapo viongozi wapya walitambulishwa na kuapishwa rasmi kwa ajili ya kuanza majukumu yao.

Sambamba na viongozi wa idara na majukumu mbalimbali, viongozi wakuu waliochaguliwa ni:
• Kiongozi wa Field: Mch. Paschal Yohana
• Makamu Kiongozi: Meshack Joseph
• Katibu: Joseph Athanas
• Mtunza Hazina: Benjamin Mashauri

Pichani ni kusanyiko la ibada ya Sabato lililowakutanisha waumini, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi, viongozi na maafisa waliomaliza muda wao wa uongozi, pamoja na viongozi na maafisa wapya waliochaguliwa wa Field ya Nyanza.

Tunaendelea kuwaombea viongozi hawa pamoja na timu nzima ya uongozi ili Mungu awaongoze, awajalie hekima na uaminifu wanapoendelea kulitumikia Kanisa na kuendeleza utume wa Injili.

✨ NURU YA MILELETunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.🎤 Mnenaji Maalum...
14/07/2026

✨ NURU YA MILELE

Tunapenda kuwakaribisha nyote kushiriki katika vipindi hivi vya kujifunza neno la Mungu.

🎤 Mnenaji Maalum: Mz. Laiton Mwakasitu - Makamu Kiongozi wa Field ya Mbeya

📍MAHALI: Google Meet
📅 TAREHE: Jumanne, 14 Julai 2026
⏰ MUDA: 2:00 usiku hadi 3:00 usiku

Usipange kukosa, mualike na jirani yako, ifikapo saa 2:00 usiku jiunge kwa kubonyeza link hii: meet.google.com/wch-xaen-djp

International Missionary Society
Seventh-day Adventist Church
Reform Movement
Union ya Tanzania
www.imstanzania.org

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when IMS Tanzania Union posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share