CHUMA HUNOA CHUMA

CHUMA HUNOA CHUMA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from CHUMA HUNOA CHUMA, Religious organisation, Dar es Salaam.

Iron sharpens iron (CHUMA HUNOA CHUMA) is a youth directorate under Ufufuo na Uzima Church aimed in bringing together youth all over the world through life changing conferences, seminars, concerts and many more exciting events for Christ!

Siku 40 zimekamilika na milango imefunguka rasmi! Tukutane leo Ubungo Chai Bora kuanzia saa 10 jioni, au fatilia mubasha...
05/06/2026

Siku 40 zimekamilika na milango imefunguka rasmi! Tukutane leo Ubungo Chai Bora kuanzia saa 10 jioni, au fatilia mubashara kupitia Rudisha TV. Twende tuk**alize kwa kishindo chini ya Bishop Josephat Gwajima!

God doesn't choose people because they are perfect; He chooses them regardless of their flaws.
05/06/2026

God doesn't choose people because they are perfect; He chooses them regardless of their flaws.

Ipo neema inayokupa kibali katika eneo ambalo hukuonekana kukubalika. Upenyo wako wa maisha unakuja!
04/06/2026

Ipo neema inayokupa kibali katika eneo ambalo hukuonekana kukubalika. Upenyo wako wa maisha unakuja!

Mfungo wa Siku 40 | Siku ya 39: Milango ya upenyo wako ipo wazi leo! Ungana na Bishop Josephat Gwajima leo saa 10 jioni ...
04/06/2026

Mfungo wa Siku 40 | Siku ya 39: Milango ya upenyo wako ipo wazi leo! Ungana na Bishop Josephat Gwajima leo saa 10 jioni (Ubungo Chai Bora / Rudisha TV). Karibu upokee muujiza wako!

04/06/2026
03/06/2026

Wamtumainio BWANA ni k**a mlima Sayuni, Ambao hautatikisika, wakaa milele. Zaburi 125:1

Tunaendelea kusimama imara katika Siku ya 38 ya Mfungo wa Siku 40 wa "Upenyo wa Maisha" na Bishop Josephat Gwajima. Kari...
03/06/2026

Tunaendelea kusimama imara katika Siku ya 38 ya Mfungo wa Siku 40 wa "Upenyo wa Maisha" na Bishop Josephat Gwajima. Karibu Ubungo Chai Bora jioni ya leo!

Siku ya 37: Tumaini letu ni Kristo, nguvu yetu ni Mungu. Karibu tuungane katika maombi.
02/06/2026

Siku ya 37: Tumaini letu ni Kristo, nguvu yetu ni Mungu. Karibu tuungane katika maombi.

  ya 36 ya Upenyo wa Maisha
01/06/2026

ya 36 ya Upenyo wa Maisha

Hatima yako inaanza na ndoto uliyonayo. Usiishie tu kuota ukiwa umelala, weka nia ya kutengeneza maisha unayotamani kuya...
01/06/2026

Hatima yako inaanza na ndoto uliyonayo. Usiishie tu kuota ukiwa umelala, weka nia ya kutengeneza maisha unayotamani kuyasikia

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CHUMA HUNOA CHUMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to CHUMA HUNOA CHUMA:

Share