05/06/2024
Karibu katika maombi ya siku tatu ya kufunga na kuomba ewe Mtu wa Mungu. Maombi yanaanza leo tarehe 5 hadi tarehe saba siku ya Ijumaa.
Theme: Nitashinda kwa nguvu za Mungu.
Karibuni sana tuombe pamoja