Askofu Gwajima

Askofu Gwajima Maombi ya kila siku ni bora zaidi.

Waebrania 10:25 wala tusiache kukusanyika pamoja, k**a ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo...
19/06/2025

Waebrania 10:25
wala tusiache kukusanyika pamoja, k**a ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia.

19/06/2025

Kesho ni Jumapili; Tukutane nyumbani mwa Bwana!

19/06/2025

19/06/2025
Karibu sana kwenye Ibada yetu ya Mfungo maalum wa kuliombea Taifa letu Tanzania. Kwa walio mbali unaweza kutizama Ibada ...
19/06/2025

Karibu sana kwenye Ibada yetu ya Mfungo maalum wa kuliombea Taifa letu Tanzania. Kwa walio mbali unaweza kutizama Ibada hii kupitia link iliyo kwenye Bio yangu hapo juu. Kwa wakazi wa Dar es Salaam; Tukutane Kanisani. Tanzania ni yetu sote!

Tunaanza rasmi kesho Mfungo wa siku 7 kuliombea Taifa letu pendwa la Tanzania. Kuwaombea Viongozi wetu na wananchi wote ...
19/06/2025

Tunaanza rasmi kesho Mfungo wa siku 7 kuliombea Taifa letu pendwa la Tanzania. Kuwaombea Viongozi wetu na wananchi wote kwaajili ya Ustawi wa Taifa letu. Tanzania ni yetu sote

19/06/2025

Silence means granting acess to evil. Tanzania ni yetu sote!

Address

Mwenge
Dar Es Salaam
5020

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Askofu Gwajima posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share