Casfeta Ardhi official

Casfeta Ardhi official Lugha yetu ni Upendo

Get ready😁 Get ready😁  🔥🔥Ni mara nyingine Tena Mungu ametubariki na wimbo wa majira mapyaya Baraka na Ushindi  kutoka ka...
21/05/2024

Get ready😁 Get ready😁 🔥🔥

Ni mara nyingine Tena Mungu ametubariki na wimbo wa majira mapyaya Baraka na Ushindi kutoka katika Ibada yetu ya *WORSHIPFEST SEASON 6* tuliyofanya Mwaka huu pale

Wimbo unakwenda kwa jina la
YESU NDIYE BWANA🥳🥳🥳

Unatarajiwa kuachiliwa kwenye platform zoteeeee🥳🥳....
¶ Spotify
¶ YouTube
¶ Audio mack
¶ Boomplay

Usiache kushiriki Baraka hii kwa
Kutembelea kwenye youtube account yetu bila kusahau kusubscribe, kulike na kushare kwenye platform zetu

📢📢📢📢📢📢📢🔥🔥🔥🔥Newala Mission Day  #01 Recap 📸📌You can be part of Our Evangelical Outreach Mission by contributing through t...
26/02/2024

📢📢📢📢📢📢📢🔥🔥🔥🔥
Newala Mission Day #01 Recap 📸📌
You can be part of Our Evangelical Outreach Mission by contributing through these accounts NOs and you'll be more blessed
CRDB A/C NO: 0152659109700 - ALEX FRANK PAULO.
M-PESA: 0762 086 666 - ALEX FRANK PAULO.
Airtel Lipa Namba :2020403 CASFETA ARDHI UNIVERSITY
Na mungu atakubariki na kukuzidisha
___________

Marko 16:15​-16 15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.16 Aaminiye na kubatizwa at...
17/02/2024

Marko 16:15​-16
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Warumi 10:15
15 Tena wahubirije, wasipopelekwa? K**a ilivyoandikwa, Ni mizuri k**a nini miguu yao wahubirio habari ya mema!
_______________
Sisi k**a mabalozi wa Kristo tunatii agizo kuu la Bwana Yesu la kwenda kuihubiri injili kwa njia ya Mission outreach.
Na tukiwa tumebakiwa na siku 7 za kuifikia Mtwara - Newala - Mahuta, tupende kukutia moyo kushiriki baraka hizi kwa mambo makubwa matatu;
- Mchango wa Fedha yako
- Kwenda pamoja nasi
- na kwa maombi yako.
_______________
Usione shaka kufanya jambo lolote zuri kwa ajili ya Ufalme wa Mungu, kwa kutuchangia kwa njia zifuatazo
CRDB A/C NO: 0152659109700 - ALEX FRANK PAULO.
M-PESA: 0762 086 666 - ALEX FRANK PAULO.
Airtel Lipa Namba :2020403 CASFETA ARDHI UNIVERSITY
Na mungu atakubariki na kukuzidisha
___________

Marko 16:15​-16 15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.16 Aaminiye na kubatizwa at...
16/02/2024

Marko 16:15​-16
15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
Warumi 10:15
15 Tena wahubirije, wasipopelekwa? K**a ilivyoandikwa, Ni mizuri k**a nini miguu yao wahubirio habari ya mema!
_______________
Sisi k**a mabalozi wa Kristo tunatii agizo kuu la Bwana Yesu la kwenda kuihubiri injili kwa njia ya Mission outreach.
Na tukiwa tumebakiwa na siku 8 za kuifikia Mtwara - Newala - Mahuta, tupende kukutia moyo kushiriki baraka hizi kwa mambo makubwa matatu;
- Mchango wa Fedha yako
- Kwenda pamoja nasi
- na kwa maombi yako.
_______________
Usione shaka kufanya jambo lolote zuri kwa ajili ya Ufalme wa Mungu, kwa kutuchangia kwa njia zifuatazo
CRDB A/C NO: 0152659109700 - ALEX FRANK PAULO.
M-PESA: 0762 086 666 - ALEX FRANK PAULO.
Airtel Lipa Namba :2020403 CASFETA ARDHI UNIVERSITY
Na mungu atakubariki na kukuzidisha
___________

📢📢📢📢📢It's time for NEWALA 🥳🥳🔥🔥Days are numbered🥳💥🔥.Tuko highly excited kupeleka Habari njema za Ufalme 🤠🥳🥳Sijui wewe was...
08/02/2024

📢📢📢📢📢
It's time for NEWALA 🥳🥳🔥🔥
Days are numbered🥳💥🔥.
Tuko highly excited kupeleka Habari njema za Ufalme 🤠🥳🥳

Sijui wewe wasubiri nn kujipatia baraka zako kwa kuihubiria newaa Injili ya Bwana yesu....!?🤔
Usibaki nyuma... kaa mkao wa kuteka mateka😀 kwa pesa yako, maombi na kwenda pamoja nasi🙏
_______
Tunaomba ushiriki na kufadhili huduma ii kwa njia zifuatazo
CRDB A/C NO: 0152659109700 - ALEX FRANK PAULO.
M-PESA: 0762 086 666 - ALEX FRANK PAULO.
Airtel Lipa Namba :2020403 CASFETA ARDHI UNIVERSITY
Na mungu atakubariki sanaa sanaa 😊🙏
______
Lakin pia Usisahau kujipatia T-shirt yako safii upendeze, tayari kwa kwenda kumvunia Bwana mavuno😁 kwa bei elekezi

Round collar = Tsh.15,000
Form Six = Tsh. 17,000
Long sleeve = Tsh. 20,000

📢📢📢📢📢Uelekeo n mmoja tu NEWALA🔥🔥Days are numbered 🥳, twende pamoja kwa mchango wako tukahubiri Injili_______ Unaweza uka...
04/02/2024

📢📢📢📢📢
Uelekeo n mmoja tu NEWALA🔥🔥
Days are numbered 🥳, twende pamoja kwa mchango wako tukahubiri Injili
_______
Unaweza ukatuchangia kwa njia zifuatazo
CRDB A/C NO: 0152659109700 - ALEX FRANK PAULO.
M-PESA: 0762 086 666 - ALEX FRANK PAULO.
Airtel Lipa Namba :2020403 CASFETA ARDHI UNIVERSITY
Na mungu atakubariki sanaa sanaa 😊🙏
______
Usisahau kujipatia T-shirt yako safii upendeze, tayari kwa kwenda kumvunia Bwana mavuno😁 kwa bei elekezi

Round collar = Tsh.15,000
Form Six = Tsh. 17,000
Long sleeve = Tsh. 20,000

📢📢📢📢📢Uelekeo n mmoja tu NEWALA🔥🔥_______ Twende pamoja kwa fedha na mali zako kwa njia zifuatazoCRDB A/C NO: 015265910970...
01/02/2024

📢📢📢📢📢
Uelekeo n mmoja tu NEWALA🔥🔥
_______
Twende pamoja kwa fedha na mali zako kwa njia zifuatazo
CRDB A/C NO: 0152659109700 - ALEX FRANK PAULO.
M-PESA:  0762 086 666 -  ALEX FRANK PAULO.
Airtel Lipa Namba :2020403 CASFETA ARDHI UNIVERSITY

Ishii na lipa namba hiyoo
Na mungu atakubariki sanaa sanaa 😊🙏
______
Usisahau kujipatia T-shirt yako safii upendeze, tayari kwa kwenda kumvunia Bwana mavuno😁 kwa bei elekezi

Round collar = Tsh.15,000
Form Six = Tsh. 17,000
Long sleeve = Tsh. 20,000

📢📢📢📢📢Siku zinazidi kusogea, masaayanazidi kupungua🔥Ikiwa tumebakiwa na siku 23 tu,Twende pamoja Newala tukamtangaze Mwok...
01/02/2024

📢📢📢📢📢
Siku zinazidi kusogea, masaayanazidi kupungua🔥
Ikiwa tumebakiwa na siku 23 tu,Twende pamoja Newala tukamtangaze Mwokozi wa ulimwengu kwa mchango wako wa Fedha, maombi yako na kwenda pamoja nasi😊.
_______
Unaweza tuchangia kwa njia zifuatazo
CRDB A/C NO: 0152659109700 - ALEX FRANK PAULO.
M-PESA:  0762 086 666 -  ALEX FRANK PAULO.
Na mungu atakubariki sanaa sanaa 😊🙏
______
Usisahau kujipatia T-shirt yako safii upendeze, tayari kwa kwenda kumvunia Bwana mavuno😁 kwa bei elekezi

Round collar = Tsh.15,000
Form Six = Tsh. 17,000
Long sleeve = Tsh. 20,000

📢📢📢📢📢Siku zinazidi kusogea, masaayanazidi kupungua🔥Ikiwa tumebakiwa na siku 24 tu,Twende pamoja Newala tukamtangaze Mwok...
31/01/2024

📢📢📢📢📢
Siku zinazidi kusogea, masaayanazidi kupungua🔥
Ikiwa tumebakiwa na siku 24 tu,Twende pamoja Newala tukamtangaze Mwokozi wa ulimwengu kwa mchango wako wa Fedha, maombi yako na kwenda pamoja nasi😊.
_______
Unaweza tuchangia kwa njia zifuatazo
CRDB A/C NO: 0152659109700 - ALEX FRANK PAULO.
M-PESA:  0762 086 666 -  ALEX FRANK PAULO.
Na mungu atakubariki sanaa sanaa 😊🙏
______
Usisahau kujipatia T-shirt yako safii upendeze, tayari kwa kwenda kumvunia Bwana mavuno😁 kwa bei elekezi

Round collar = Tsh.15,000
Form Six = Tsh. 17,000
Long sleeve = Tsh. 20,000

📢📢📢📢📢Twende pamoja Newala tukamtangaze Mwokozi wa ulimwengu kwa mchango wako wa Fedha, maombi yako na kwenda pamoja nasi...
30/01/2024

📢📢📢📢📢
Twende pamoja Newala tukamtangaze Mwokozi wa ulimwengu kwa mchango wako wa Fedha, maombi yako na kwenda pamoja nasi😊.
_______
Unaweza tuchangia kwa njia zifuatazo
CRDB A/C NO: 0152659109700 - ALEX FRANK PAULO.
M-PESA:  0762 086 666 -  ALEX FRANK PAULO.
Na mungu atakubariki sanaa sanaa 😊🙏
______
Usisahau kujipatia T-shirt yako safii upendeze, tayari kwa kwenda kumvunia Bwana mavuno😁 kwa bei elekezi

Round collar = Tsh.15,000
Form Six = Tsh. 17,000
Long sleeve = Tsh. 20,000

It is a special week for ladies 🔥You are all invited 🤗
29/01/2024

It is a special week for ladies 🔥
You are all invited 🤗

Usje kusema hukuambiwa😀😀Tumebakiwa na siku 28 tu kwa   kupinduliwa na Injili 🔥🔥Injili hii itaskika kwa mchango wako wa F...
29/01/2024

Usje kusema hukuambiwa😀😀

Tumebakiwa na siku 28 tu kwa kupinduliwa na Injili 🔥🔥
Injili hii itaskika kwa mchango wako wa Fedha, maombi yako pamoja na kwenda pamoja nasi😊.
_______
Unaweza tuchangia kwa njia zifuatazo
CRDB A/C NO: 0152659109700 - ALEX FRANK PAULO.
M-PESA:  0762 086 666 -  ALEX FRANK PAULO.
Na mungu atakubariki sanaa sanaa 😊🙏
______

Address

35176
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Casfeta Ardhi official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share