Glory House Church - Dar

Glory House Church - Dar We are a Church on the cutting edge, a place where you find love, acceptance, hope, divine counsel and encouragement

Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, ndugu wa  wakikaa pamoja kwa umoja!
25/02/2026

Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, ndugu wa wakikaa pamoja kwa umoja!

Hivi ndivyo ambavyo BWANA alitutendea katika Usiku wa jana kwenye mkesha wa ‘The night of Power’ uliofanyika kanisa la ,...
22/02/2026

Hivi ndivyo ambavyo BWANA alitutendea katika Usiku wa jana kwenye mkesha wa ‘The night of Power’ uliofanyika kanisa la , chini ya mtumishi wa Mungu, K**a ulikosa mkesha huu, usijali, Kesho pia ni nafasi nyingine nzuri ya kushiriki Ibada pamoja nasi kuanzia saa 2.00 asubuhi hapa hapa kwenye nyumba ya Utukufu

Karibu tumfanyie Mungu wetu Ibada 🤲

RSVP: 0755 276 817

Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake; ambaye katika yeye...
18/02/2026

Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake; ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi; — Wakolosai 1:13-14 SUV

Baada ya Jumapili ya kuchukua kila kilicho cha kwetu kwa Nguvu, Mungu ameweka kichecko vinywani mwetu na kutupaka mafuta...
17/02/2026

Baada ya Jumapili ya kuchukua kila kilicho cha kwetu kwa Nguvu, Mungu ameweka kichecko vinywani mwetu na kutupaka mafuta ya Furaha vichwani mwetu na kusababisha vikombe vyetu kufurika kuliko wengine wote!

Ni maombi yetu kwamba kabla wiki hii haijaisha, na wewe Mungu akakupe kicheko na ushuhuda wa kumvusha mtu mmoja atakayepata Neema ya kuusikia, kwa jina la Yesu!!!

theyearofthenewmantle

15/02/2026

Usisahau nafasi yako kutokana na maumivu unayoyapitia! — Pst. .ida_m_kamanda

15/02/2026

Wewe huwa unakimbilia wapi pindi unapopatwa na changamoto? — Pst. .ida_m_kamanda

15/02/2026

Kila mwanadamu ameumbwa kwa kusudi maalumu chini ya jua! — Pst. .ida_m_kamanda

14/02/2026

Changamoto ya leo ndio ushuhuda wa kesho! — Pst. .ida_m_kamanda

14/02/2026

Wanaume pia huwa wanateseka! — Pst. .ida_m_kamanda

14/02/2026

Kuwa mwanamke sio rahisi! — Pst. .ida_m_kamanda

Address

Goba Road, Goba Kanisani (Opposite Of ENGEN Gas Station)
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Glory House Church - Dar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share