Real Life In Christ Ministries.

Real Life In Christ Ministries. pata mafundisho yatakayo kupa uzima wakimungu na kukuwezesha kugundua na
kupata utajiri na ushindi uliomo katika kristo Yesu Bwana wetu.(yohana 10:10)

07/05/2026

Yeremia 30:22 Nanyi mtakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu.

16/02/2026
NEXT ELECTION VS NEXT GENERATIONUCHAGUZI UJAO VS KIZAZI KIJACHOTunashuhudia tatizo hatari la Kimfumo Katika Bara letu na...
04/01/2026

NEXT ELECTION VS NEXT GENERATION

UCHAGUZI UJAO VS KIZAZI KIJACHO
Tunashuhudia tatizo hatari la Kimfumo Katika Bara letu na ulimwenguni kote. Kwa kipindi sasa tumejifunza ushindi wa uchaguzi, lakini tumeacha sanaa ngumu ya kujenga taifa. Matokeo yake ni tunashinda vita vya kisiasa kwenye sanduku la kura, lakini tunapoteza vita ya kujenga kizazi kijacho.

Tumeelimisha kizazi kilicho na elimu zaidi, mitandao zaidi, na ndoto kubwa zaidi. Lakini tumewaachia vyeti bila masoko, sauti bila viti vya maamuzi. Hii ni chembechembe ya misukosuko ya kisiasa.

Kuinuka kwa vijana a.k.a Gen Z ni matokeo ya kujisahau kwa muda mrefu kwa vyama vya siaasa na selikali. Kwa kuweka kipaumbele katika kushinda kila uchaguzi ujao na sio kushida trust na confidence ya kizazi kijacho.
Chaguo ni letu:
KuShinda uchaguzi ujao, lakini kupoteza kizazi.
Au ujenge kizazi, na kulinda mustakabali wa taifa.
Maendeleo ElimuNaAjira

MKOA UNAOPOTEA KIUCHUMI: MBEYAMbeya ina potential kubwa, lakini hakuna mkakati wa kuibadilisha kuwa maendeleo halisi. Ar...
03/01/2026

MKOA UNAOPOTEA KIUCHUMI: MBEYA
Mbeya ina potential kubwa, lakini hakuna mkakati wa kuibadilisha kuwa maendeleo halisi. Ardhi rutufu, hali ya hewa nzuri, na lango kuu la biashara kuelekea SADC – vilipaswa kuifanya “Johannesburg ya Tanzania.” Badala yake, mkoa umebaki kuzalisha bidhaa ghafi huku utajiri ukipita mikononi mwa wachache.
Zaidi ya 80% ya wakazi ni wakulima. Mahindi, mpunga, parachichi, maziwa na kahawa zinauzwa ghafi. Viazi na machungwa yanapotea, maziwa yanauzwa ghafi badala ya kuwa yoghurt au cheese, na kahawa inauzwa bila brand. Mini agro-processing hubs, packaging centers, na marketing clusters zinaweza kubadilisha kila kilo kuwa mapato halisi.
Uwanja wa ndege wa Songwe unakosa matumizi ya usafirishaji wa bidhaa. Mbeya ni Gateway to SADC, lakini bidhaa za mkoa zinashindwa kufika Lusaka au Lubumbashi. Dry port na distribution hubs zinaweza kuondoa kizuizi hiki.
Mbeya ina madini k**a mkaa, dhahabu, chokaa na marumaru, lakini uchimbaji mdogo hauungi mkono viwanda. Industrial parks zinazounga mkono value chain zinaweza kuongeza ajira na mapato.
Mkoa haujapata flagship project la kuvutia wawekezaji. Special Economic Zone kwa viwanda vya chakula na madini inaweza kuibua uwekezaji, kuongeza ajira, na kuifanya Mbeya kuwa kitovu cha biashara.
Potential bila mkakati ni gari la kifahari lisilo na mafuta. Ni wakati sasa wa kuigeuza Mbeya kuwa Injini ya Uchumi wa Kusini!

Self-mastery is the quiet art of ruling oneself in order to live up to one’s full potential.
26/12/2025

Self-mastery is the quiet art of ruling oneself in order to live up to one’s full potential.

03/12/2025

The core demand for African electricity is driven by over 600 million people currently lacking access, representing nearly 80% of the global access deficit, with per capita consumption in Sub-Saharan Africa (excluding South Africa) being extremely low at roughly 180 kWh compared to thousands in developed regions. To meet this massive deficit and fuel industrialization, annual deployments of renewable energy must quadruple from current levels to achieve the African Union's target of 300 GW by 2030. This immense need and the continent's access to 60% of the world's best solar resources underscore the high potential for clean, decentralized energy to be the primary engine for future economic growth and development.

Look Within
29/01/2025

Look Within

Bwana Yesu AsifiweKwa Neema Ya Mungu INTERCESSORY PRAYER NETWORK TANZANIA inayo furaha kukukaribisha kwenye KUSANYIKO LA...
16/11/2024

Bwana Yesu Asifiwe
Kwa Neema Ya Mungu INTERCESSORY PRAYER NETWORK TANZANIA inayo furaha kukukaribisha kwenye KUSANYIKO LA MAOMBI LA KINABII 2024.
EE MUNGU INUKA
YEHOVA SABAOTH( BWANA WA MAJESHI) 1Samweli 1:3
Tarehe 01 - 09 Disemba 2024.
WAALIMU ni Nabii Oyi & Mch.Precious Mwasambili(Tanzania), Askofu Dkt. Bernard Jehu Nwaka( Zambia), Nabii Samuel Lontsi ( Cameroon), Mtume Prosper Ntepa ( Tanzania).
WAIMBAJI: Gwamaka Mwakalinga ( DSM), Mise Suxophone ( DSM) na Intercessory Praise and Worship Team.
Mahali: Madhabahu Hema nyuma Ya Ofisi za TRA - Mbeya Mjini.
Mawasiliano zaidi: 0717127291, 0683994340, 0757 744 122
Tanzania Funguka ...Achilia Uponyaji Utembee.
Wakristo Waombaji walinzi karibu Tusimame katika zamu kwa ajili ya taifa,makabila,familia zetu n.k

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
0768027086

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Real Life In Christ Ministries. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Real Life In Christ Ministries.:

Share