The Testimony

The Testimony Jehovah Adonai is my KING

https://youtu.be/8-amYKC8ypUMAPOKEZI YA TUNDU LISU YAITIKISA DAR
25/01/2023

https://youtu.be/8-amYKC8ypU

MAPOKEZI YA TUNDU LISU YAITIKISA DAR

Baada ya kipindi kirefu hatimae wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo wamempokea makamu mwenyekiti bara wa chama hicho leo jijini Dar es salaam.

03/12/2022

Gusa link usikilize
https://youtu.be/75kYv8ndte8

Miongoni mwa nyimbo zinazopatikana katika Ep ya Aniseti Butati ni huu hapa Take Over na ndio uliobeba jina la Ep
Gusa link usikilize

Mtumishi wa Mungu Aniset Butati anakutangazia Ujio wa Ep yake mpya inayoenda kwa Jina la   atakayoiachia tareh 02/12/202...
28/11/2022

Mtumishi wa Mungu Aniset Butati anakutangazia Ujio wa Ep yake mpya inayoenda kwa Jina la atakayoiachia tareh 02/12/2022

26/11/2022

Jina la ya Muimbaji wa nyimbo za injili inaitwa itakua hewani kuanzia siku ya tareh 02/11/2022.
Karibu upate huduma za ku record Audio pamoja na video kwenye Offisi za Butati Music kwa bei ya Offer ya Sikukuu piga namba kwa maelezo zaidi 0654302839

😭😭SIMULIZI YA KWELI YENYE KUTOA MACHOZI😭😭ALIKUWA AKINIWEKEA PILI PILI KWENYE UKE WANGUNiliachwa na mama yangu nikiwa na ...
14/08/2022

😭😭SIMULIZI YA KWELI YENYE KUTOA MACHOZI😭😭

ALIKUWA AKINIWEKEA PILI PILI KWENYE UKE WANGU

Niliachwa na mama yangu nikiwa na umri wa miezi saba (miezi 7) R.I.P MAMA YANGU😭😭, na kuanza kuishi na baba na mama wa kambo, baada ya kifo cha mama, BABA yangu akashikwa kiroho na kimwili, na kunitelekeza, na kunisahau kabisa, na hapo ndipo kilio kilipoanzia,

Kwani Mama yangu wa kambo alikuwa na roho mbaya sana ila nilimvumilia ,😭na kuvumilia mateso yake pia, na unyanyasaji wa kila aina aliyokuwa akinifanyia.

Wakati mwingine nilikuwa na njaa na chakula kipo ila mama wa kambo akawa wakuninyima chakula siku nzima, akitengemea kwamba ntakufa kwa njaa😭,

Kuna pindi kimoja, nilikuwa na njaa sana, kiasi kwamba ilinibidi niwe nashiriki chakula cha mabaki ya mbwa😲 wetu😭😭

Mmoja wa jirani yetu alikuja asubuhi na mapema kwetu, na k**a ada huwa nakuwa wakwanza kudamka na kwenda kwenye banda la mbwa 🐕 ijapo k**a ntapata chochote kitu, alinikuta nikila chakula kilichobaki cha mbwa 🐕😲😭 (JAMANI WEWE) alianza kwa kusema hivyo, kwa mshangao, na akatoka mbio na akaenda kumwambia mama yake ambaye baadaye jioni hiyo alinialika nyumbani kwake na kuniuliza ikiwa anachosema mwanawe ni kweli?

Niliogopa sana, kumwambia maana naelewa farangati la mama wa kambo😭😭, kisha nikamsihi na kumwomba kwamba asimwambie mama yangu wa kambo, kwa sababu ataniua ikiwa atajua kuwa nimekula chakula cha mbwa badala ya kwenda kumwaga 😭😲.

Mwanamke huyo alilia na kuahidi kunipatia chakula kila siku bila mama yangu wa kambo,kujua.

LAKINI HAIKUISHIA HAPO TU, baada ya kuona njaa haikuwa adhabu ya kutosha kwangu, kipigo cha mbwa mwizi ilianza mama yangu wa kambo alinipiga bila huruma hadi nilipungua, ( NILIKONDA SANA) wakati mwingine, Alikuwa pia akinipaka pilipili kwenye uke wangu😭, macho, 😲mguu na shingo, akanifunga na kuniacha katika moja ya vyoo kwa siku bila chakula.😭😲

Pamoja na udhaifu huu wote, nilikuwa mkali sana kitaaluma na nilipendwa na kupendwa na Mungu na watu.

Nilijua kuwa njia pekee ya kutoroka ilikuwa kupata mafanikio ya kielimu na nilifanya!hvyo sasa hivi mimi ni wakili.

Hongera kwa Wote wanaomtegemea MUNGU kwa neema ya ajabu, wapokee kwa jina la YESU, amina!

Shiriki hadithi hii YA KWELI IKAWE FARAJA KWA MTU,.

Ubarikiwe mshambani ubarikiwe mjini ibarikiwe kazi ya mikono yako "AMEN"
12/08/2022

Ubarikiwe mshambani ubarikiwe mjini ibarikiwe kazi ya mikono yako "AMEN"

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Telephone

+255757580721

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Testimony posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The Testimony:

Share