Magomeni Parish Telecentre

Magomeni Parish Telecentre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Magomeni Parish Telecentre, Religious organisation, Makuti Street, Dar es Salaam.

Magomeni Parish Telecentre ni ukurasa wa marafiki na waamini Kanisa Katoliki, wenye lengo la kuchochea moyo wa sala, tafakari na majitoleo ya imani, kutakatifuza malimwengu, ili Mungu kwetu atukuzwe nasi tutakatifuzwe.

12/09/2025
Hija Kibeho Rwanda 2025.Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Jimbo kuu la Dar es salaam, inawaalika wakri...
12/09/2025

Hija Kibeho Rwanda 2025.

Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni Jimbo kuu la Dar es salaam, inawaalika wakristo wakatoliki kwenye ibada ya Hija, Kibeho nchini Rwanda.

Safari ya Hija, itaanza mwezi Novemba, ambapo wakristo watapata nafasi ya kusali na kutembelea vituo vya Makumbusho ya mauaji ya mwaka 1994 nchini Rwanda.

Kuhiji ni tendo takatifu la kukutana na Mungu; kujipatia fadhila na utakatifu kadiri ya Neno lake.

Ibada ya Hija, inatuongoza katika kuomba toba, kumwabudu Mungu, kumshukuru Mungu na kumtolea sadaka. Ni ibada pia inayotupatia rehema kamili.

Tumsifu Yesu Kristo!

Tangazo la Hija Kibeho Rwanda 2025Waandaaji: Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni, Jimbo kuu la Dar es sa...
12/09/2025

Tangazo la Hija Kibeho Rwanda 2025

Waandaaji: Parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda, Magomeni, Jimbo kuu la Dar es salaam.

Karibuni sana!

In Hoc Signo Vinces!Kwa Ishara Hii Tutashinda!
30/03/2024

In Hoc Signo Vinces!

Kwa Ishara Hii Tutashinda!

Hija Namugongo Uganda 2024
30/03/2024

Hija Namugongo Uganda 2024

Hongera sana Mhashamu Askofu Jovitus Mwijage, askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba.Mwenyezi Mungu azidi kukutunza na akujalie...
27/01/2024

Hongera sana Mhashamu Askofu Jovitus Mwijage, askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba.

Mwenyezi Mungu azidi kukutunza na akujalie heri na msaada wake katika utume wako. Amina!

27/01/2024
Moyo Mtakatifu wa Yesu; ufalme wako ufike!
18/06/2023

Moyo Mtakatifu wa Yesu; ufalme wako ufike!

18/11/2022

WAZA JAMBO HILI

K**a ni kwa lugha ya Kiingereza, basi mtu angeweza kusema “Imagine this”.

Wakati wa kuzaliwa kwako, katika chumba cha kuzalia kulifanyika kosa la kukubadilisha wewe na kichanga kingine. Ni kwa kiasi gani maisha yako yangekuwa tofauti na yalivyo sasa? Ingekuaje k**a familia uliyopelekwa kimakosa ni familia ya kimaskini sana, ama familia uliyopelekwa kimakosa ni familia tajiri sana.

Ni kwa kiasi gani kosa hilo lingeathiri maendeleo yako katika shule uliyopelekwa kujifunza? Lingeathiri huduma za kiafya ambazo ungekuwa unapatiwa? Uwezekano wa miito yako ya kazi baada ya kuhitimu mafunzo yote uliyopitia?

Endapo ungekuwa umelelewa katika dini tofauti, ama dhehebu tofauti la dini uliyopo sasa, jambo hilo lingeathiri kwa namna gani Imani yako, desturi yako, na mtazamo wako? Lakini ebu fikiria tena Zaidi, ingekuaje k**a ungezaliwa katika jinsi tofauti na uliyo nayo sasa, au utaifa ulionao sasa?

Naamini kwa kusoma maelezo hayo hapo juu, umeweza kubaini jambo, lakini lengo la maelezo yote hayo ni kuonesha aina ya stadi inayotumika kuisoma jamii ya watu. Somo maalum linaitwa SOSHOLOJIA, ni somo ambalo limejikita katika namna ya kubadili ukweli alionao mtu kuhusu jamii au watu wengine anaokutana nao katika maisha yake.

Kubadili kwa namna njema kile alichokuwa nacho mawazoni, kuhusu familia yake, nafasi yake katika jamii, elimu yake, dini yake, jinsi, na utaifa wake. Kila kimoja kina mchango mkubwa sana katika kukuunda vile ulivyo sasa.

ELIMU HAINA MWISHO, KILA SIKU YAFAA KUENDELEA KUJIFUNZA, HATA KWA KUSOMA MAKALA ZIANDIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII.

Credit: Mwal. Adrian kansela Mkoba.

Karibuni sana tukamtukuze Mungu nasi tukatakatifuzwe!!
10/11/2022

Karibuni sana tukamtukuze Mungu nasi tukatakatifuzwe!!

Address

Makuti Street
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magomeni Parish Telecentre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share