South East Tanzania Conference - Sec

South East Tanzania Conference - Sec SOUTH EAST TANZANIA CONFERENCE OF SEVENTH DAY ADVENTIST CHURCH OF TANZANIA

Retiba ya makambi kwa wiki inayoanza tarehe 15 hadi 22/2020 katika konferensi ya SEC Karibu ubarikiwe
14/08/2020

Retiba ya makambi kwa wiki inayoanza tarehe 15 hadi 22/2020 katika konferensi ya SEC Karibu ubarikiwe

25/01/2019
Katika siku hizi 10 za kufunga na kuomba hakikisha unawaombea ndugu jamaa na marafiki na pia jikabidhi kwa Mungu ukiwa n...
09/01/2019

Katika siku hizi 10 za kufunga na kuomba hakikisha unawaombea ndugu jamaa na marafiki na pia jikabidhi kwa Mungu ukiwa na imani Bwana atakutimizia hitaji la moyo wako. katika kanisa lako alika ndugu jamaa na marafiki omba nao na watie moyo katika siku hizi 10 za Maombi Bwana atatenda

Viongozi wa ATAPE walipokutana na  Wakurugenzi na Maofisa wa kanisa la waadventista wasabato jimbo la kusini mashariki m...
09/01/2019

Viongozi wa ATAPE walipokutana na Wakurugenzi na Maofisa wa kanisa la waadventista wasabato jimbo la kusini mashariki mwa tanzania hii leo katika maandalizi ya mikitano ya Nyumbani Hatimaye. Picha na Mwalimu Abraham Youze Mkurugenzi wa mawasiliano - SEC

  TZ 2018 Dar es Salaam.Mkutano Wa Global Adventist Internet network Tz umeanza Rasmi hii Leo  katika ukumbi Mkuu Wa APC...
19/03/2018

TZ 2018 Dar es Salaam.Mkutano Wa Global Adventist Internet network Tz umeanza Rasmi hii Leo katika ukumbi Mkuu Wa APC Hotel Jijini Dar es Salaam.Mkutano huu unajumuisha wataalamu Wa Tekhnologia,Waandishi Wa Habari Makatibu,Wazee Wa Makanisa,Wachungaji,Wakuu Wa Idara ya Mawasiliano Wa makanisa ya Waadventista Wa Sabato Tz.Mkutano huu umeanza hii Leo March 19 na utahitimishwa March 24.v

Address

Kwembe, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when South East Tanzania Conference - Sec posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to South East Tanzania Conference - Sec:

Share