Eagt Hema Ya Ukombozi-Kimara Baruti 770

Eagt Hema Ya Ukombozi-Kimara Baruti 770 Kanisa la Eagt Kimara Baruti kwa Mchungaji na Mtume Julius Makabe. Njoo sasa tumwabudu Mungu, tujifunze neno Lake na ukutane na Nguvu za Yesu Kristo!

03/03/2022

HAKIKA MUNGU NI MWEMA SANAAA

26/12/2019

0765910110 PIGA
Mungu anazidi kumtumia katika ishara, miujiza na uponyaji...karibuni wote wenye kuelemewa na kuteseka na mizigo ya magonjwa...utakutana na mkono wa Mungu.....wasiliana nae 0765910110

Apostle Julias Makabe

Hakika Mungu ni mwema sanaaaaa
15/12/2019

Hakika Mungu ni mwema sanaaaaa

21/08/2017

K**A UNATAFUTA MCHUMBA SOMA HII…

Kwa nini Mungu ni wa muhimu sana wakati wa kutafuta mchumba? Ni kwa sababu unayetaka kumwoa/anayetaka kukuoa anaweza kuwa tofauti na wewe kiroho au kiakili, na hivyo hamtaweza kuendana na kuchukuliana k**a mkioana. Pia Mungu aonaye sirini ndio atakayekuonesha mambo yaliyofichika ili k**a mtu huyo ni wakala wa shetani ujiepushe naye mapema.

K**a kuna kitu ambacho unatakiwa kuwa mwangalifu sana katika maisha ni suala la ndoa. Mungu mwenyewe, na hata mapepo yanafuatilia sana suala zima la ndoa. Mungu anataka kuiangalia ndoa yako na kukusaidia upate mafanikio, lakini kwa upande mwingine nguvu za giza muda wote zinataka kuja kuchezea na kuharibu ndoa za watu. Ili uweze kushinda vita hivyo jiweke chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu wakati wote.

By Mwl M***a Kisoma
Furahia Mahusiano
0753 469525
Download App Ya Furahia Mahusiano ili upate masomo mengi ya mahusiano, ndoa na malezi ya watoto. Mungu akubariki.

0765910110 PIGAMungu anzaidi kumtumia katika ishara, miujiza na uponyaji...karibuni wote wenye kuelemewa na kuteseka na ...
03/08/2017

0765910110 PIGA
Mungu anzaidi kumtumia katika ishara, miujiza na uponyaji...karibuni wote wenye kuelemewa na kuteseka na mizigo ya magonjwa...utakutana na mkono wa Mungu.....wasiliana nae 0765910110

07/06/2017

NENO LA FARAJA JIONI YA LEO

ISAYA 53:5...kwa kupigwa kwake tumepona.

Nataka kuzungumza na wewe ambaye ni mgonjwa. Inawezekana umeanza kukata tamaa ya kuishi na madaktari wanasema ugonjwa wako hauna tiba.
🍀Au ni mtoto wako anaumwa, ndugu yako, rafiki wa karibu, au ndugu yako.

Sikia neno hili.
Uponyaji sio kitu cha ziada au kitu cha kukitafuta kwa gharama kubwa. Inawezekana hujanielewa...namaanisha katika mambo ambayo Yesu alimaliza msalabani ni pamoja na mateso yako na magonjwa yote. Kwa hiyo Yesu alipigwa ili upate afya mtu wa Mungu.
Jambo moja la kufanya pale ulipo ni kumshukuru Mungu kwa uponyaji alioutoa bure na kukiri na kuamini ili imani yako ktk Kristo izae uponyaji wako.

usiangalie ukubwa wa ugonjwa au historia za watu waliowahi kuugua ugonjwa huo, Ugonjwa wako ni fursa ya MUNGU kuonesha uweza wake kwa jina la Yesu.

Mshukuru Mungu kwa madaktari wanaofanya kazi hiyo ya MUNGU, na unapoendelea na dozi usiache kupokea uponyaji kwa njia ya imani.

Unaweza kupokea uponyaji kwa niaba k**a wale ndugu waliotoboa dari ili wamshushe ndugu yao aguswe na Yesu. Na wewe sasa chukua hatua ya kubeba imani kwa niaba ya mgonjwa wako ambaye hajiwezi na Mungu atamtendea muujiza wake.

Usilie, amka umshukuru Mungu ametenda makuu tayari.
Mungu akubariki nakutakia usiku mwema.
(kwenye app ya Furahia Mahusiano kuna kipengele cha Neno la Faraja tafadhali download sasa kutoka kwenye playstore yako)

By Bro M***a Kisoma
0753469525

Mtumishi wa Mungu Geofrey Makula akifundisha kuhusu kulijua kusudi, karibuni sana!
13/03/2017

Mtumishi wa Mungu Geofrey Makula akifundisha kuhusu kulijua kusudi, karibuni sana!

EAGT HEMA YA UKOMBOZI, KIMARA BARUT 770, sehemu ambayo walimu, wainjilisti, mitume na manabii hukutana kumtumikia Mungu,...
13/03/2017

EAGT HEMA YA UKOMBOZI, KIMARA BARUT 770, sehemu ambayo walimu, wainjilisti, mitume na manabii hukutana kumtumikia Mungu, kulisha kundi teule la Bwana pamoja na mchungaji Julias Makabe

Mtumishi wa Mungu Mwl M***a Kisoma, jana ametuhudumia neno la Mungu "Ijue Nguvu ya Maamuzi yako"  anauliza maamuzi yako ...
06/03/2017

Mtumishi wa Mungu Mwl M***a Kisoma, jana ametuhudumia neno la Mungu "Ijue Nguvu ya Maamuzi yako" anauliza maamuzi yako yanasukumwa na nini?

Je yana sukuma na njaa k**a Esau aliyeuza uzao wa kwanza?
Au yanasukumwa na tamaa k**a Samson?

Je, ukipata nafasi ya kumwangamiza adui utamwua au utamwacha k**a Daudi alivyomwacha Sauli?
Na mengine mengi. Karibu tena Jumapili ijayo!

Hakika nimemwona Jehoha kupitia mtumishi wa Mungu,Mwalimu M***a Kisoma katika Hema la Bwana maeneo ya Kimara Baruti 770 ...
12/02/2017

Hakika nimemwona Jehoha kupitia mtumishi wa Mungu,Mwalimu M***a Kisoma katika Hema la Bwana maeneo ya Kimara Baruti 770 kwa Apostel Julias Makabe.....Hakika watu wamefunguliwa macho ya Rohoni ........Husikose week ijayo

Address

Kimara/Baruti
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255719907527

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eagt Hema Ya Ukombozi-Kimara Baruti 770 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Eagt Hema Ya Ukombozi-Kimara Baruti 770:

Share