Zubery mwasile

Zubery mwasile Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zubery mwasile, Full Gospel Church, zuberymwasile. tz@gmail. com, Dar es Salaam.

Katika kuelekea mwaka mpya wenye baraka nataka nikwambie majuto unayaacha mwaka huu usikubali yakushike kwa jina la yesu...
30/12/2022

Katika kuelekea mwaka mpya wenye baraka nataka nikwambie majuto unayaacha mwaka huu usikubali yakushike kwa jina la yesu kristo alie hai sema Ameni

Z BROTHER TEAM Tz
19/06/2019

Z BROTHER TEAM Tz

Mombasa Kenya 2019
19/06/2019

Mombasa Kenya 2019

Ujue ukipata mtu sio watu utainjoy Sana By Z brother on the stage Mombasa Kenya 2019 yesu alihubiriwa watu wakamjua Na w...
14/06/2019

Ujue ukipata mtu sio watu utainjoy Sana By Z brother on the stage Mombasa Kenya 2019 yesu alihubiriwa watu wakamjua Na ww unae nitazama saizi pokea neema iyo

Kenya yote kwa yesu ni mkutano kubwa sana utakao fanyika mombasa viwanja vya alidina mtumishi na bshp ..lambert mbela wa...
21/05/2019

Kenya yote kwa yesu ni mkutano kubwa sana utakao fanyika mombasa viwanja vya alidina mtumishi na bshp ..lambert mbela wa kanisa la RGC mikindani atakuwa akizinena habari za mfalme yesu na wenyeshida wataombewa bila malipo yoyote msingi wewe hudhulia tu utaona muujiza waimbaji watakao kubariki ni Zubery mwasile kutoka(TZ)pia Timoth kutoka KENYA MOMBASA atakuwepo bila kusahau RGC mikindani chor watamtukuza Mungu ni kwanzia tar6-9 june usipange kukosa ameni k**a ukitaka kujua zaidi usisahau ku coment na ku share picha hii uta barikiwa

Mtafakari Mungu pindi unaona mambo hayaendi mm ninaushuhuda sana Mungu aliko nitoa nimbali sana acha nifurahie akika saf...
20/05/2019

Mtafakari Mungu pindi unaona mambo hayaendi mm ninaushuhuda sana Mungu aliko nitoa nimbali sana acha nifurahie akika safari naiona by Z brother og umalila.

Address

Zuberymwasile. Tz@gmail. Com
Dar Es Salaam

Telephone

0718271398

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zubery mwasile posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share