Children and Students Ministries - CSM

Children and Students Ministries - CSM Is the Department under Assemblies of God Tanzania with vision is To make Tanzanians children to be disciples of Jesus Christ.

Is the Department under Assemblies of God Tanzania with vision is To make Tanzanians children to be disciples of Jesus Christ, filled with Holy Spirit so that have to be the best servants of God and His church.

16/11/2024

Usipange kuikosa hii Kijana popote ulipoooo!

ARUSHA...Waalimu wa watoto na vijana..walezi na wahudumu wa vijana na wanafunzi..!!HII SI YA KUKOSA.Maelezo zaidi soma t...
11/08/2023

ARUSHA...
Waalimu wa watoto na vijana..walezi na wahudumu wa vijana na wanafunzi..!!
HII SI YA KUKOSA.
Maelezo zaidi soma tangazo..!!

WAKAZI WA DAR NA MAENEO YA JIRANI..Una kiu ya kumsifu Mungu na kumwabudu ziadi ya kawaida...Don't miss!! Ni Jmosi wiki h...
19/07/2023

WAKAZI WA DAR NA MAENEO YA JIRANI..
Una kiu ya kumsifu Mungu na kumwabudu ziadi ya kawaida...Don't miss!! Ni Jmosi wiki hii pale uwanja wa Uhuru..!! Ni kuanzia saa 4:00 asubuhi-2:00 usiku.

HII NI MAALUMU KWA WAHUDUMU WA WATOTO MKOANI IRINGA NA MAENEO YA JIRANI.Msikose mpate mbinu na maarifa ya kuhudumia wato...
20/06/2023

HII NI MAALUMU KWA WAHUDUMU WA WATOTO MKOANI IRINGA NA MAENEO YA JIRANI.
Msikose mpate mbinu na maarifa ya kuhudumia watoto na vijana.!!

Pastor Andrea Benedictor

Only Hope FC ikiwa tayari kwa Mechi pamoja na Baruti FC kabra ya Mkutano Mkubwa wa Injiri jumapili ijayo Uwanja umeitika...
04/06/2023

Only Hope FC ikiwa tayari kwa Mechi pamoja na Baruti FC kabra ya Mkutano Mkubwa wa Injiri jumapili ijayo Uwanja umeitikaaaa! Tutawafunga tuuu!

WIKI LA IDARA YA WATOTO NA WANAFUNZI1. Kila kanisa lifanye sikukuu. 2. Watoto wapewe nafasi ya kuhudumu. 3. Semina ziwap...
03/06/2023

WIKI LA IDARA YA WATOTO NA WANAFUNZI
1. Kila kanisa lifanye sikukuu.
2. Watoto wapewe nafasi ya kuhudumu.
3. Semina ziwape wazazi umuhimu wa malezi ya watoto.
4. Sadaka za kanisa za wiki nzima zikatwe 10% zibaki kanisani idarani na 90% iwekwe kwenye mfumo kwa kutumia control namba ya sikukuu ya watoto.

TUNAWATAKIA WATOTO WETU SIKUKUU NJEMA.

NI ZAMU YA TABORA ..!Wale waliopo katika mikoa ya maeneo hayo hadi kahama na Shinyanga.Waalikwa1. Walimu wa huduma ya wa...
13/03/2023

NI ZAMU YA TABORA ..!
Wale waliopo katika mikoa ya maeneo hayo hadi kahama na Shinyanga.
Waalikwa
1. Walimu wa huduma ya watoto
2. Wazazi na walezi wa vijana na watoto
3. Maaskofu na wachungaji
4. Watu wote wenye kiu ya kupata maarifa ya kuhudumia watoto na vijana.

MSIKOSE!

09/12/2022

Kumbe walimu wa watoto nao ni k**a watoto...Tazama ufurahi

NI WIKI IJAYO TU!!!!WALIMU WA WATOTO WAKIFIKA KANISA LITANUFAIKA SANA KUWAHUDUMIA WATOTOKongamano la kitaifa la walimu w...
30/11/2022

NI WIKI IJAYO TU!!!!

WALIMU WA WATOTO WAKIFIKA KANISA LITANUFAIKA SANA KUWAHUDUMIA WATOTO

Kongamano la kitaifa la walimu wa watoto litafanyika Dodoma chuo cha Biblia 7-9/12/2022.

Ada ni 55,000 kwa walimu na 60,000 kwa viongozi wa sehemu na jimbo.

Wakufunzi wazuri wa kitaifa na kimataifa watafundisha.

Mkurugenzi na Katibu wa jimbo wafike 5/12/2022 kwa ajili ya kikao cha bodi.

Walimu na wajumbe wengine wote wafike tar. 6/12/2022.

Mchungaji tunaomba walete walimu wako.

NAOMBA USAMBAZE WACHUNGAJI NA WALIMU.

Katibu Idara ya watoto Taifa.
Andrea L Benedictor

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Tuesday 09:00 - 15:00
Thursday 09:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Children and Students Ministries - CSM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share