Tanzania Itubu Ministry

Tanzania Itubu Ministry We are a ministry under Golgotha revelation World Ministry dedicated to the deliverance of nations t

22/04/2021
Happy Birthday Nabii Dr. Kennedy Mwasumbi
15/04/2021

Happy Birthday Nabii Dr. Kennedy Mwasumbi

Haleluya,Habari ndugu, ni Kesho tarehe 10.04.2021 Ibada hii si ya kukosa  kabisa hakikisha unawahi kufika mapema mkaribi...
09/04/2021

Haleluya,
Habari ndugu, ni Kesho tarehe 10.04.2021 Ibada hii si ya kukosa kabisa hakikisha unawahi kufika mapema mkaribishe ndugu, jamaa na rafiki. Hakika Bwana Yesu Atakutana na Haja yako.

Haleluya,Nabii Dr. Kennedy Mwasumbi pamoja na watenda kazi wa Tanzania Itubu Ministry wanapenda kukuribisha siku ya Juma...
07/04/2021

Haleluya,
Nabii Dr. Kennedy Mwasumbi pamoja na watenda kazi wa Tanzania Itubu Ministry wanapenda kukuribisha siku ya Jumamosi hii tar 10.04.2021 Kimara Matosa Jirani na shule ya King'ong'o au shuka kituo cha kwa Komba ulizia mlima wa Maombi utaelekezwa, karibu sana pia njoo na rafiki yako, Hakika Bwana Yesu Atakutana nawe na haja zako

Haleluya,Habari njema Jumamaosi hii tar 10.04.2021 unakaribishwa bila kukosa katika maadhimisho ya wiki 12 za Maombi  na...
07/04/2021

Haleluya,
Habari njema Jumamaosi hii tar 10.04.2021 unakaribishwa bila kukosa katika maadhimisho ya wiki 12 za Maombi na Maombezi maana Mungu aliyeziumba mbingu na ardhi atakutana na haja zako, usipange kukosa mkaribishe na rafiki yako

Address

10701
Dar Es Salaam
01

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Itubu Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share