Nabii James Nyakia

Nabii James Nyakia 1. Prophecy
2. Spiritual scanning
3. Spiritual operation
4. Deliverance
Leading souls and minds of the people to the destiny and glory of Glory.

Kwa mawasiliano piga: +255 715 420 000

Roho Mtakatifu anapoufuta uso wako maana yake ni kwamba unajivua majonzi, hofu, na mashaka. Ni mwanzo wa safari mpya ya ...
15/09/2024

Roho Mtakatifu anapoufuta uso wako maana yake ni kwamba unajivua majonzi, hofu, na mashaka. Ni mwanzo wa safari mpya ya kiroho, yenye utukufu wa amani na ushindi uliowekwa kwa ajili yako.

Katika ulimwengu wa roho, kufutwa uso ni ishara ya kusafishwa kutoka kwenye huzuni, maumivu na mizigo. Ni hatua ya kuach...
15/09/2024

Katika ulimwengu wa roho, kufutwa uso ni ishara ya kusafishwa kutoka kwenye huzuni, maumivu na mizigo. Ni hatua ya kuacha yaliyopita na kukaribisha upya wa maisha, amani na nuru ya Mungu kuangaza njia yako.

13/09/2024

Kanisa liko Mwenge-Mpakani.. Jirani na ghorofa la Mpakani Center
Piga simu: 0715420000 | 0746222400 | 0652870000 | 0658335568

11/09/2024
04/09/2024

MANENO YA NABII NYAKIA KUHUSU UNABII WAKE

Address

Mwenge
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nabii James Nyakia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Nabii James Nyakia:

Share