23/07/2026
Kwa Hali inavyoenda, Usipange Kukosa Jumapili hii 26 Julai, Maana utakosa mengi, unalijua vibe la Wasukuma wakiongozwa na Fr. Mabeha? Ni Mtoko na Sikukuu ya Familia yetu wana St Joseph,
*Usije sema nina mtoto mdogo siji, we njoo tuta muaccomodate, usije ukasema Hii, mimi niko single wewe njoo tutaku Accomodate 😄😄😄😄, ni kuanzia saa 2 asubuhi, Muda wa kumaliza tutaona itakavyokuwa, ikiwezekana TOROKA UJEEEEEE*