City Light Temple - CLT

City Light Temple - CLT Called to shine in the Darkness. Maarifa sahihi ni uhuru wa mtu, maangamizi yetu ni ujinga tulionao

“Tunapoinua mioyo yetu mbele za Mungu, tunakutana na uwepo wake. 🙏🏽❤️ Si kwa sababu ya tulichonacho, bali kwa sababu Yey...
06/09/2026

“Tunapoinua mioyo yetu mbele za Mungu, tunakutana na uwepo wake. 🙏🏽❤️ Si kwa sababu ya tulichonacho, bali kwa sababu Yeye anastahili sifa na heshima zote.

Mungu ndiye sababu ya kila kitu. Tumwabudu kwa moyo wote. ❤️‍🔥

Tumsifu Mungu kwa maana Yeye ni mwema, na fadhili zake zadumu milele! ❤️Kila pumzi ni sababu ya kumwinua, kila siku ni n...
06/09/2026

Tumsifu Mungu kwa maana Yeye ni mwema, na fadhili zake zadumu milele! ❤️
Kila pumzi ni sababu ya kumwinua, kila siku ni nafasi ya kumshukuru.
Mungu wetu anastahili sifa zote!

Kwa ajili ya Taifa la Tanzania 🇹🇿, Taifa la Israel 🇮🇱 na Kanisa la TAG ⛪.Tunaomba amani, ulinzi, hekima, umoja na neema ...
06/09/2026

Kwa ajili ya Taifa la Tanzania 🇹🇿, Taifa la Israel 🇮🇱 na Kanisa la TAG ⛪.

Tunaomba amani, ulinzi, hekima, umoja na neema ya Mungu itawale. Tunaliweka taifa letu, watu wake na Kanisa mikononi mwa Mungu. 🙏🏽🔥

“Basi, kwanza ya yote, nataka dua, sala, maombezi na shukrani zifanywe kwa ajili ya watu wote.” — 1 Timotheo 2:1

Prayer

Kila mmoja akija na matarajio yake, lakini tunamwamini Mungu kwa jibu lake. 🔥Karibu kwenye ibada, karibu kwenye uwepo wa...
06/09/2026

Kila mmoja akija na matarajio yake, lakini tunamwamini Mungu kwa jibu lake. 🔥
Karibu kwenye ibada, karibu kwenye uwepo wa Mungu! ✨

Karibuni wageni tunawapenda
30/08/2026

Karibuni wageni tunawapenda

Tunapopiga magoti, Mungu hufungua njia ambazo macho yetu hayawezi kuziona. 🤲🏽🔥Omba, amini, na usikate tamaa. Mungu anasi...
30/08/2026

Tunapopiga magoti, Mungu hufungua njia ambazo macho yetu hayawezi kuziona. 🤲🏽🔥
Omba, amini, na usikate tamaa. Mungu anasikia. ❤️‍🔥

https://www.youtube.com/live/90uQG6jhnvI?si=vGZzkeVZDRas5Has Mungu wangu, Wewe ndiye sababu ya moyo wangu kuendelea kuim...
30/08/2026

https://www.youtube.com/live/90uQG6jhnvI?si=vGZzkeVZDRas5Has

Mungu wangu, Wewe ndiye sababu ya moyo wangu kuendelea kuimba. 🙏🏽
Ninakusujudia kwa yote uliyonitendea, kwa upendo wako usio na mwisho, na kwa neema zako kila siku.
Wewe pekee wastahili sifa, heshima na utukufu wote. Hallelujah 🙌🏽🔥

Address

Goba, Matosa
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 17:00 - 18:30
Wednesday 16:30 - 18:30
Friday 16:30 - 18:30
Sunday 06:30 - 12:30

Telephone

+255673280229

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when City Light Temple - CLT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share