Kanisa la Pentekoste Agizo Kuu

Kanisa la Pentekoste Agizo Kuu We are preaching the word of God

17/07/2024

Vitu viwili kwa kanisa la Agizo kuu

Askofu mkuu wa makanisa ya Pentekoste Agizo kuu  Askof. Dr. Damas Mukasa. Akiwapaka mafuta wachungaji wasimikwa katika i...
17/07/2024

Askofu mkuu wa makanisa ya Pentekoste Agizo kuu Askof. Dr. Damas Mukasa. Akiwapaka mafuta wachungaji wasimikwa katika ibada iliyofanyika jumapili ya tarehe 14/07/2024. Ibada hiyo ilifanyika katika kanisa la Pentekoste Agizo Kuu Saba Saba kwa mpili

11/08/2022
31/07/2022

Ni raha sana kumwabudu Mungu alie hai.

Semina ya wamama inaendelea...  🔥🔥🔥
31/07/2022

Semina ya wamama inaendelea...

🔥🔥🔥


Ewe mwana wa Mungu usipange kukosa semina hii.Wote mnakaribishwa!
25/07/2022

Ewe mwana wa Mungu usipange kukosa semina hii.

Wote mnakaribishwa!

Mch. Modesta Damas amesimama madhabahuni akihubiri kuhusu SADAKA YA  FUNGU LA KUMI (MALAKI 3:10).KARIBU SANA KANISANI KU...
10/07/2022

Mch. Modesta Damas amesimama madhabahuni akihubiri kuhusu SADAKA YA FUNGU LA KUMI (MALAKI 3:10).

KARIBU SANA KANISANI KUJIFUNZA MAANA YA FUNGU LA KUMI NAKUFAHAMU UMUHIMU WAKE.

01/07/2022
Karibu kanisani!
26/06/2022

Karibu kanisani!

BWANA ameibariki familia ya ndugu yetu David Japhet pamoja na mkewe Gladness mtoto wa kiume!Jina la BWANA libarikiwe!
20/06/2022

BWANA ameibariki familia ya ndugu yetu David Japhet pamoja na mkewe Gladness mtoto wa kiume!
Jina la BWANA libarikiwe!

Address

P. O. BOX 41522
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 08:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 16:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa la Pentekoste Agizo Kuu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share