Life Sharing

Life Sharing Life sharing is for transforming lives of people and sealing the victory by sharing what we live, challenge we face, and how to get out of them all

14/01/2022
Tusisahau Kuwa tumeumbwa wengi, hivyo tusiache kuwa pamoja, tukishiriana kwa umoja kwa Utukufu wa Mungu .sharing
02/10/2021

Tusisahau Kuwa tumeumbwa wengi, hivyo tusiache kuwa pamoja, tukishiriana kwa umoja kwa Utukufu wa Mungu

.sharing

30/09/2021

09/07/2021

'Now by this we know that we know Him, if we keep His commandments. '

I John 2:3

sharing

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Bc9uLYoIEXeHcomjPOkFazHello je, unataka kujifunza ...
10/05/2020

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/Bc9uLYoIEXeHcomjPOkFaz

Hello je, unataka kujifunza kusoma NENO la Mungu kwa njia ya kujibu maswali join me in this group and let's have some fun

WhatsApp Group Invite

  is Light
29/04/2020

is Light

Tangu Mwanzo Mungu ametupa mamlaka ya kutawala juu ya Kila kiumbe katika dunia hii. Namaanisha unao uwezo na hayo mamlak...
20/04/2020

Tangu Mwanzo Mungu ametupa mamlaka ya kutawala juu ya Kila kiumbe katika dunia hii. Namaanisha unao uwezo na hayo mamlaka ya kutawala, Vitumie.

sharing

Unafiki ni utovu wa ukweli katika mwenendo wa binadamu hasa kwa lengo la kujipatia sifa, k. mf. k**a mwanadini mwadilifu...
05/10/2019

Unafiki ni utovu wa ukweli katika mwenendo wa binadamu hasa kwa lengo la kujipatia sifa, k. mf. k**a mwanadini mwadilifu.

Tofauti na mkosefu, mnafiki anatenda vema kwa nje, lakini nia yake si kufuata dhamiri yake na maadili anayojua ni mazuri, bali ni kupendeza watu wengine ili kupata faida fulani kutoka kwao.

sw.m.wikipedia.org

Wakati huo, makutano walipokutanika maelfu, hata wakakanyagana, alianza kuwaambia wanafunzi wake kwanza, Jilindeni na chachu ya Mafarisayo, ambayo ni *unafiki.*
Luka 12:1 SUV

Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana.
Luka 12:2 SUV

Basi, yoyote mliyosema gizani yatasikiwa mwangani; na mliyonena sikioni mwa mtu katika vyumba vya ndani, yatatangazwa juu ya dari.
Luka 12:3 SUV

28/09/2019

Kuna mambo ya kuzingatia hapa Kuna mtu itamsaidia

"Unasema
ah me nitaomba nyumbani Sina haja ya kwenda kanisani"

Kuna mambo mawili yanaweza kutokea
👇🏻
1. Hautaomba kabisa utajikuta unaendeleaje na Mambo yako na siku itaisha bila kufanya ulichokusudia kufanya

2. Ikitokea umeomba kwa uaminifu Mungu ni mwaminifu atakujibu mambo utakayomuomba ila huu ndo uhakika nilionao Kuna majibu mengine "atakuambia nenda kanisani utajibiwa" kwasababu ndio utaratibu aliouweka yeye mwenyewe

Hebu tuende ndani kidogo kwenye hili la pili
Biblia inatuambia

Mungu alipomtokea Mtume Paulo
Alimwambia hivi

"Lakini simama, uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda."
Matendo 9:6 SUV

Swali kwanini asingemwambia moja kwa moja si wako wote pale?

Mungu aliandaa mtu wa kumpa maelezo ya nini cha kufanya na huo ndio utaratibu aliouweka ukisoma Biblia utakubaliana nami na mara zote Mungu hufanya hivyo

Ndio unaweza ukaomba nyumbani ila huu ndio uhakika Huyo huyo Mungu unaemuomba atakuagiza upate maelekezo kwa mtu aliyemuandaa

Sikia Biblia inasema

wala tusiache kukusanyika pamoja, k**a ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri muonavyo siku ile kuwa inakaribia.
Waraka kwa Waebrania 10:25 SUV

Tafsiri ya kiingereza inasema

"not forsaking our meeting together [as believers for worship and instruction], as is the habit of some, but encouraging one another; and all the more [faithfully] as you see the day [of Christ’s return] approaching."
HEBREWS 10:25 AMP

Naamini umepata kitu cha kukusaidia
Acha visingizio wengi wanaosema wataomba nyumbani huwa hawaombi
Hebu maanisha basi

Kesho jumapili fanya kuamua kweli nenda kanisani na uhakika utapata majibu ya maombi yako na kitu cha kukujenga.

Barikiwa unavyotii Hilo

sharing

Address

Tabata Relini
Dar Es Salaam

Telephone

+255763778820

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Life Sharing posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Life Sharing:

Share