Mlima wa neema pentecostal church

Mlima wa neema pentecostal church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mlima wa neema pentecostal church, Religious organisation, Dar es Salaam.

*A place of word of God with knowledge,power,and impact Teachings
*Changing lives
*Changing Nations
*Changing the world
(Introduce heavenly culture on the earth)

*Mahali Pa neno lenye uzima Yohana 6:63 wa/me 0767699919

Haijalishi unaomba kwa kiasi gani, usipopanda huwezi kuvuna." 🌱🙏No matter how prayerful you are, until you plant,you can...
01/06/2026

Haijalishi unaomba kwa kiasi gani, usipopanda huwezi kuvuna." 🌱🙏
No matter how prayerful you are, until you plant,you cannot harvest.

Karibu Ushiriki Nasi IBADA YA JUMAPILI TESTIMONY OF CHRIST INTERNATIONAL Ibada zenye mguso, ibada zenye utukufu wa Mungu...
30/05/2026

Karibu Ushiriki Nasi
IBADA YA JUMAPILI
TESTIMONY OF CHRIST INTERNATIONAL

Ibada zenye mguso, ibada zenye utukufu wa Mungu, Ibada zinazoambatana na matendo makuu ya Mungu

Ni Dar es salaam tabata kisukuru, mtaa wa jumba la dhahabu
Saa 2:00-1:30 asubuhi

Mawasiliano +255686699919

Mungu akubariki

Nine no la kuaminiwa apate mke apata kitu chema nae apata kibali kwa Bwana
09/05/2026

Nine no la kuaminiwa apate mke apata kitu chema nae apata kibali kwa Bwana

08/05/2026
GLORY TO GOD | UTUKUFU KWA MUNGU.Namfurahia na kuheshimu Wito na Huduma aliyonayo katika kanisa na mwili wa Kristo.Moyo ...
20/07/2025

GLORY TO GOD | UTUKUFU KWA MUNGU.

Namfurahia na kuheshimu Wito na Huduma aliyonayo katika kanisa na mwili wa Kristo.Moyo wa bidii na kujitoa kwaajili ya Mungu.

Kwa Neema ya Mungu katika nyakati tofauti na maeneo tofauti tumekuwa na wakati wa kutumika pamoja, kujengana na kusaidiana katika Makusudi ya Mungu na Ufalme wake.

Mungu anatukuzwa kwamba umekuwa mlezi,kiongozi,mchungaji na Baba kwa familia yako nzuri ya Testimony of christ Tanzania na wengine wengi.

Miaka mingi ya kusudi,Neema,Ustawi na Kumzalia Mungu matunda!

Pst Elijah Mwambene
"Neema ya Mungu Inatutosha"

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mlima wa neema pentecostal church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share