15/05/2022
Mwanzo 35:3-4.
Yakobo alipoambiwa na Mungu aende Betheli na amtolee Mungu sadaka. Akawaagiza watu wake waondoe mingus migeni na Pete na zikazikwa.
SWALI: Kuna tatizo gani kwenye PETE mpaka nazo ziletwe na kuzikwa? Nini ubaya wa Pete hapo?