Pastor Raymond Elphace

Pastor Raymond Elphace Worship Leader and Preacher
( namtumikia Mungu k**a Mwalimu wa Neno la Mungu na kiongozi wa sifa na kuabudu)

08/04/2024

Kuna Mtu bado hajasikia...

05/08/2023

Wimbo huu sikchoki kuusilkiliza!
Link ipo hapo chini weka kengeleukitoka uwe wa kwanza kuusilkiliza, hakika utakubariki.

I never get tired of listening to this song!
https://youtu.be/IhfjTswdRJk

Mwanzo 3:1-20UJINGAMstari 1-7  Mwanadamu anadanganywa kwa sababu ya ujinga kutofahamu na kutii Neno la Mungu. Shetani an...
14/07/2023

Mwanzo 3:1-20

UJINGA
Mstari 1-7
Mwanadamu anadanganywa kwa sababu ya ujinga kutofahamu na kutii Neno la Mungu. Shetani anapomuuliza Hawa alichosema Mungu kuhusiana na matunda ya kula na yepi si ya kula anatafuta mambo yafuatayo:-

1. Uelewa k**a anajua kweli alichosema Mungu
2. Anataka kumfanya Hawa atilie Shaka Neno la Mungu.

Kwa hiyo kwa sababu ya ujinga wa Hawa kutojua na kutotii Neno la Mungu akafanya dhambi.
Ujinga wa kutoajua Neno la Mungu ni hatari saana unaweza kusababisha hasara kwenye maisha yako.

TOBA
Mstari 8-13
Mungu anakuja bustanini Adam na Hawa wanasikia sauti ya Mungu na kujificha. Mungu anamuita Adam na kumuuliza maswali kadhaa baadaye inaonekana Adam kala Matunda aliyokatazwa na Mungu kula. Mungu anapomuuliza Adamu kwanini kala anamlaumu Mungu kwamba mwanamke aliyempa kasababisha yote na Mungu anapomuuliza Hawa anasema ni nyoka.

Kwa lugha rahisi Mungu alikuwa anawapa Adamu na Hawa nafasi ya kukubali makosa watubu badala yake wanatoa sababu nyingi. Nashawishika kusema kwamba sababu ya Mungu ya kuwauliza maswali ni kuwapa nafasi ya kutubu na hawakuitumia ni kwa sababu Mungu anapogeuka kwa nyoka hamuulizi chochote zaidi anaanzakutoa hukumu akianzia kwa nyoka. Hii sababu inaonesha kuwa Mungu alitaka watubu kwa utashi wao wenyewe.

HUKUMU
Mstari 14-19
Mungu anawahukumu wote na ni baada ya kuwa amekwisha wauliza.

Kumbuka haya { Mungu hatoi hukumu kabla ya kutoa nafasi ya toba}

Huu ni Muda wa kutumia kutubu na kugeuka.
Habari njema niliyonayo ni kwamba unaweza kusamehewa na kurudi ndani ya pendo na uwepo wa Mungu kwa Kumwamini Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako.

Yesu alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi za ulimwengu( zangu na zako) mwamini leo uokolewe.

Ikiwa unataka kumpokea Yesu na unataka kufahamu zaidi kuhusu Yesu.

Njoo inbox.

Yours
Pastor Raymond Elphace

03/06/2023
Picha inaongea zaidi ya Maneno.The picture speaks more than words.
03/03/2023

Picha inaongea zaidi ya Maneno.
The picture speaks more than words.

19/01/2023

Kuna wakati kwenye maisha unahitaji

Siyo Watu ila
Unahitaji Neno la Bwana litakalokuvusha.
Neno la Bwana lirakalokuinua
Neno litakalokuponya majeraha ya nafsi
Neno la Bwana litakalo rudisha furaha iloyopotea
Neno la Bwana litalorudish natumaini.
Neno la kukuinua na kuku matuamaini ya kuendelea na safari uliyoicha.

5 Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu.
Luka 5:5

SEMA AMEN
Tukutane Gilgari.

Yours
Pastor Raymond Elphace

19/01/2023

Kumwomba Mungu kunapaswa kuwa ni wajibu na wala siyo jambo la hisia.

Hata k**a hujisikii kuomba wewe omba tu.

Luka 18:1
Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa.

Yours
Pastor Raymond Elphace

17 Lakini, Yeye ajisifuye, na ajisifu katika Bwana.18 Maana mtu mwenye kukubaliwa si yeye ajisifuye, bali yeye asifiwaye...
11/01/2023

17 Lakini, Yeye ajisifuye, na ajisifu katika Bwana.
18 Maana mtu mwenye kukubaliwa si yeye ajisifuye, bali yeye asifiwaye na Bwana.

'2 Wakorintho 10:17-18'

https://youtube.com/shorts/zU5a2PKa2RU?feature=share

17 But whoever has a desire for glory, let his glory be in the Lord.
18 For the Lord's approval of a man is not dependent on his opinion of himself, but on the Lord's opinion of him.

'2 Corinthians 10:17-18'

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.nippt.bible.free&hl=en

I have reached 700 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉
08/01/2023

I have reached 700 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉

Address

Flamingo
Dar Es Salaam
MADALE

Telephone

+255653177735

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Raymond Elphace posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pastor Raymond Elphace:

Share