Ilala SDA Church

Ilala SDA Church This is an official page of Ilala Sda Church. Welcome..............!

It is the divine purpose to gather out people from the far corners of the earth to bind them into one body, the body of Christ, the church, of which He is the living head. All who are children of God in Christ Jesus are members of this body, and in this relationship they may enjoy fellowship with each other, and fellowship also with their Lord and Master. Here you are provided with day to day info

rmations about religious matters concerning with the love of God as the centrepiece of our fellowship.

06/09/2026




ONEVOICE27 | MISSION FOR ALL
05/09/2026

ONEVOICE27 | MISSION FOR ALL




05/09/2026

🚨 *ONE VOICE | KAZI YA MUNGU INAENDELEA* 🚨

Neno la Mungu linatangazwa……..
_“Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri Injili”_ *Marko 16:15*

Huu ni wito kwa watu wote!
Mungu ametutendea makuu na hatuwezi kunyamaza 🤍
Kila ushuhuda ni silaha. Kila neno la Injili ni nuru.
Tumepokea neema bure, na sasa ni zamu yetu kuitangaza.

*Huu ni wakati wa kusimama pamoja k**a SAUTI MOJA*
Kutangaza upendo, uponyaji, na ukombozi wa Yesu.

Comment *“Niko Tayari”* k**a utakuwa tayari pamoja nasi kushiriki kazi ya Mungu 🙌
_“Nanyi mtakuwa mashahidi wangu... mpaka miisho ya dunia.”_ *Matendo 1:8*

SABATO NJEMA! 😊
21/08/2026

SABATO NJEMA! 😊

Tunazo sababu za kumshukuru Mungu kwa makuu aliyotutendea. Mengi tumeyashuhudia mbele ya macho yetu. Ungana nasi katika ...
21/08/2026

Tunazo sababu za kumshukuru Mungu kwa makuu aliyotutendea. Mengi tumeyashuhudia mbele ya macho yetu. Ungana nasi katika Sabato ya Shukrani tumtukuze Mungu pamoja.


12/08/2026

Jiandae kumpokea Yesu ajapo mara ya pili. Andaa moyo wako, kumpokea Kristo.


NUKUU katika kipindi cha "Hatua za Maisha ya Ushindi" kwa Vijana. Karibu kwenye MAKAMBI ILALA 2026.
12/08/2026

NUKUU katika kipindi cha "Hatua za Maisha ya Ushindi" kwa Vijana. Karibu kwenye MAKAMBI ILALA 2026.


Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ilala SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ilala SDA Church:

Shortcuts

Share