Neema Gospel Choir

Neema Gospel Choir 🌍Gospel Music Choir
🏆Multi-Award Winning INTRODUCTION:
Neema Gospel Choir is a group of born again Christian Singers, members of Africa Inland Church (AICT).
(2)

It is found at Chang'ombe Local Church in Dar es salaam. BACKGROUND:
Neema Gospel Choir was formed in 1992 with six (6) members having a single keyboard but now grown up to sixty (60) members with professional musical instruments. AIMS AND OBJECTIVES
Going all over Tanzania and across the borders preaching the word of God and bringing people to our Almighty God. Extending fellowship to the street

Children giving support both materially and spiritually. Praying for sick in homes,hospitals and wherever possible particularly in crusades. Praying for those in need! To provide Christian Counceling and reuniting broken families and other services. Among these are provision of food, clothes and spiritual education to all people in need especially widowed, street children, poor e.t.c. To establish different projects and investments for the sustainability of NGC. KISWAHILI:

KUHUSU NGC
Kuhubiri neno la Mungu kwa njia ya UIMBAJI

LENGO
Kwenda duniani kote kuhubiri neno la Mungu kwa njia ya UIMBAJI

MAELEZO KUHUSU NGC
UTANGULIZI:
Neema Gospel Choir ni kundi la KIKRISTO waliozaliwa mara ya pili, waumini wa kanisa la Africa Inland Church ( AICT ). Ni kanisa la mtaa wa Chang'ombe Dayosis ya Pwani katika jiji la Dar es salaam. HISTORIA:
Neema Gospel Choir ilizaliwa mwaka 1992 ikiwa na waimbaji sita (6) na kinanda kimoja, lakini kwa sasa ina wanakwaya zaidi ya sitini (60) na vyombo vya kisasa vya muziki. MALENGO NA MADHUMUNI
Kwenda Tanzania yote na kuvuka mipaka ya nchi kuhubiri neno la Mungu na kuleta watu kwa Mungu wetu Mwenye Uwezo, wapate kumkiri na kumwamini YESU na Kuokoka. Kupanua ushirika kwa watoto wa mitaani na kutoa msaada ya mali na ya kiroho. Kuomba kwa ajili ya wagonjwa katika nyumba , hospitali na popote iwezekanavyo hasa katika mikutano. Kuomba kwa ajili ya mahitaji mbalimbali kwa wahitaji! Kutoa ushauri wa kikristo na kuunganisha tena familia zilizovunjika na kukata tamaa pamoja na huduma nyinginezo. Miongoni mwa haya ni utoaji wa chakula, nguo na elimu ya kiroho kwa watu wote wanaohitaji hasa wajane, watoto wa mitaani, maskini n.k. Kuanzisha miradi mbalimbali na uwekezaji kwa ajili ya uendelevu wa NGC .

17/08/2026

Sisi Faharinyetu ni Yesu 🔥🔥 Wewe sijui ni nani?
Uandishi wa Nyimbo hii, Ni Maono ya Mungu aliyoyashusha kwa Mtumishi wake Imani Eric Shoo

Mungu akubariki sana Imani Eric Shoo kwa Utunzi wa Nyimbo hii!
Sisi k**a familia yako tunakubariki sana!

Leader Ezekiel Kimoi

Happy Sunday ❤️❤️❤️❤️❤️
16/08/2026

Happy Sunday ❤️❤️❤️❤️❤️

Tuna watakia Ibada iliyonjema!Mungu awabariki wote tulioungana pamoja katika ibada ya jana therising.fest  🔥🔥🔥 Hakika ml...
16/08/2026

Tuna watakia Ibada iliyonjema!
Mungu awabariki wote tulioungana pamoja katika ibada ya jana therising.fest 🔥🔥🔥 Hakika mlifanyika baraka sana!

Mapato tele, makato sifuri ! 👉🏽Hakuna ada ya mwezi 👉🏽Pata Lipa Hapa 👉🏽Unaweza kopa hadi Mil 50 Tembelea tawi la Benki ya...
15/08/2026

Mapato tele, makato sifuri !

👉🏽Hakuna ada ya mwezi
👉🏽Pata Lipa Hapa
👉🏽Unaweza kopa hadi Mil 50

Tembelea tawi la Benki ya CRDB kufungua Hodari Account.

Ahsante sana Dada yetu Jackline Mwarabu  kwa Upendo Mwingi kwetu na kutukaribisha katika ibada kubwa ya PRAISE EXPLOSION...
15/08/2026

Ahsante sana Dada yetu Jackline Mwarabu kwa Upendo Mwingi kwetu na kutukaribisha katika ibada kubwa ya PRAISE EXPLOSION 🔥🔥

Mungu awabariki pia DODOMA 🇹🇿 Kwa Upendo wenu Mwingi kwetu!

15/08/2026
15/08/2026
15/08/2026

We are ready for therising.fest 🔥🔥🔥

Tupo Dodoma, Tayari Kukuhudumia
14/08/2026

Tupo Dodoma, Tayari Kukuhudumia

Address

Dar Es Salaam
2550766777288

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Neema Gospel Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Neema Gospel Choir:

Shortcuts

Share