ECG Dar-Es-Salaam The Jesus Nation Church

ECG Dar-Es-Salaam The Jesus Nation Church Official page for Enlightened Christian Gathering Jesus Nation Church Dar es salaam Branch

20/07/2026
JUMAPILI YA UPAKO WA MELKIZEDEKI! πŸ”₯Je, uko tayari kupokea kiwango kipya cha neema, ufunuo na upako kutoka kwa Mungu?Jiun...
18/07/2026

JUMAPILI YA UPAKO WA MELKIZEDEKI! πŸ”₯

Je, uko tayari kupokea kiwango kipya cha neema, ufunuo na upako kutoka kwa Mungu?

Jiunge nasi Jumapili tarehe 19 Julai 2026, kuanzia saa 1:00 asubuhi, katika ibada maalum ya "Upako wa Melkizedeki"

πŸ“ ECG The Jesus Nation Church – Makongo Juu, karibu na Chuo Kikuu cha Ardhi, nyuma ya Ardhi City Mall.

Usikose nafasi ya kuabudu, kujifunza Neno la Mungu na kupokea mguso wa kiungu utakaobadilisha maisha yako.

Karibu wewe, familia yako na marafiki zako. Mungu ana jambo maalum kwa ajili yako!

JUMAPILI YA UPONYAJI NA KUFUNGULIWA Usikose ibada ya kipekee ya nguvu za Mungu ambapo kutakuwa na maombi ya uponyaji, uk...
10/07/2026

JUMAPILI YA UPONYAJI NA KUFUNGULIWA

Usikose ibada ya kipekee ya nguvu za Mungu ambapo kutakuwa na maombi ya uponyaji, ukombozi, na kufunguliwa kutoka katika kila kifungo.

Njoo ukiwa na imani na matarajio makubwa, maana Mungu bado anatenda miujiza.

πŸ—“ Jumapili, 12 Julai 2026
πŸ• Saa 01:00 Asubuhi
πŸ“ Kanisa la ECG Jesus Nation Church, Makongo Juu, nyuma ya Ardhi City Mall

Mwalike rafiki, ndugu, au jirani. Muujiza wako unaweza kuanza Jumapili hii!

Jumapili hii maalum sana ECG TJNC dar es salaam MAFUTA YA MAFANIKIONi kuanzia saa moja asubuhi ambapo kila mtu atapakwa ...
04/07/2026

Jumapili hii maalum sana ECG TJNC dar es salaam MAFUTA YA MAFANIKIO

Ni kuanzia saa moja asubuhi ambapo kila mtu atapakwa mafuta maalum ya upako kwa ajili ya mafanikio na maombezi kwa watu wote.
Kumbuka huu ni mwezi wa upenyo baada ya mafuta haya utakwenda kufanikiwa kila eneo na hutakuwa chini tena

Zaburi 89:20, 27
20 )Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, Nimempaka mafuta yangu matakatifu.

27) Nami nitamjalia kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, Kuwa juu sana kuliko wafalme wa dunia.,

02/07/2026

Karibu sana Ibada ya Ijumaa Hii Hapa ECG TJNC Dar es Salaam Makongo Juu.

Address

Dar Es Salaam
0000

Telephone

+255659675151

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ECG Dar-Es-Salaam The Jesus Nation Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to ECG Dar-Es-Salaam The Jesus Nation Church:

Shortcuts

Share