Kanisa la tag mabibo

Kanisa la tag mabibo T.A.G Mabibo living church. ni kanisa la pentekoste lilipo mabibo Dar es salaam, linaloongozwa na Mchungaji Danny Sambo.

ukitokea Mabibo Mwisho, kituoni mwembeni utaona bango letu la kanisa la T.A.G Living Church

Katika ibada ya vijana CAS Mabibo Living church. Pichani Mchungaji kiongozi, Mama mchungaji na vijana
04/10/2020

Katika ibada ya vijana CAS Mabibo Living church. Pichani Mchungaji kiongozi, Mama mchungaji na vijana

04/10/2019
07/07/2019

Tutaendelea na mafundisho ya ibada. Endelea kuwa nasi.

07/07/2019

Ibada ya shukrani itakuepo hapo joini saa tisa kamili wote tunawakaribisha.

Kalibuni mabibo living church katika ibada ya shukrani jumapili hi wageni kwetu ni baraka.
05/07/2019

Kalibuni mabibo living church katika ibada ya shukrani jumapili hi wageni kwetu ni baraka.

24/06/2019

Tunashukuru kwa mlio like page hii, Mungu awabariki, kuweni tayari kupata mambo mazuri.
KARIBUNI

24/06/2019

Kanisa la T.A.G living church, tunategemea kuanza kurusha live mafundisho na ibada zetu siku za ijumapili.
popote ulipo sasa tupo.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa la tag mabibo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category