Msewe Christian Revival Church

Msewe Christian Revival Church Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Msewe Christian Revival Church, Religious organisation, Ubungo, Msewe, Dar es Salaam.

Msewe Christian Revival Church(MCRC) is a Revival Church at Dar es Salaam Tanzania which has a mission of Taking a Gospel to all the World and All the Generations

31/05/2026
Mungu anaendelea kuokoa na kuponya katika mkutano mkubwa wa Injili unaoendelea katika viwanja vya shule ya msingi Msewe....
23/05/2026

Mungu anaendelea kuokoa na kuponya katika mkutano mkubwa wa Injili unaoendelea katika viwanja vya shule ya msingi Msewe. Karibu sana katika ibada za kesho, ibada ya kwanza inaanza saa 12:30 asubuhi na ibada ya pili inaanza saa tatu kamili Asubuhi

Mwinjilisti Daniel Daudi (GK) Gombo Kamili akimtangaza Yesu Kristo katika mkutano mkubwa wa Injili unaoendelea hivi sasa...
23/05/2026

Mwinjilisti Daniel Daudi (GK) Gombo Kamili akimtangaza Yesu Kristo katika mkutano mkubwa wa Injili unaoendelea hivi sasa katika viwanja vya Shule ya Msingi Msewe.

Karibu sana upate kusikia Neno la Mungu na kubarikiwa.

23/05/2026

Karibu Sana

Kwaya ya Walawi kutoka MCRC inaendelea kumtukuza Mungu kwa huduma yenye nguvu katika viwanja vya mkutano vilivyopo Shule...
19/05/2026

Kwaya ya Walawi kutoka MCRC inaendelea kumtukuza Mungu kwa huduma yenye nguvu katika viwanja vya mkutano vilivyopo Shule ya Msingi Msewe, ndani ya Mkutano Mkuu wa Shangwe za Yesu, Wokovu na Uponyaji unaoendelea kwa baraka nyingi na utukufu wa Mungu. Mamia ya watu wanaendelea kuguswa na uwepo wa Mungu kupitia sifa, maombi na Neno la uzima.

Karibu nawe ushiriki katika mkutano huu wa kipekee uliojaa upako wa Roho Mtakatifu. Mungu anaendelea kuponya, kufungua vifungo na kubadilisha maisha ya wengi kwa neema yake. Hii ni nafasi ya kumkaribia Mungu zaidi na kumpokea Yesu Kristo k**a Bwana na Mwokozi wa maisha yako.

19/05/2026

karibu sana

18/05/2026

Ungana nasi live katika mkutano mkubwa unaoendelea hivi sasa katika viwanja vya shule ya msingi msewe

Kwaya ya Walawi kutoka MCRC ipo ikihudumu kwa nguvu za Mungu katika viwanja vya mkutano vilivyopo Shule ya Msingi Msewe,...
17/05/2026

Kwaya ya Walawi kutoka MCRC ipo ikihudumu kwa nguvu za Mungu katika viwanja vya mkutano vilivyopo Shule ya Msingi Msewe, kwenye Mkutano Mkubwa wa Shangwe za Yesu, Wokovu na Uponyaji unaoendelea kwa utukufu mkubwa. Ibada hizi zimejaa sifa, maombi, Neno la Mungu na uwepo wa Roho Mtakatifu unaogusa maisha ya wengi.

Karibu ujumuike nasi katika siku hizi za neema na uamsho wa kiroho. Mungu anaendelea kutenda miujiza, kuponya wenye shida mbalimbali na kuwavuta watu kwake kwa upendo wake mkuu. Usikose nafasi hii ya kubarikiwa, kufunguliwa na kumpokea Yesu Kristo katika maisha yako.

Address

Ubungo, Msewe
Dar Es Salaam

Telephone

+255716104319

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msewe Christian Revival Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Msewe Christian Revival Church:

Share