Efraim Edward

Efraim Edward Efraimu Edward
0758615325

27/10/2023



Voice of hop church Vikindu, Pwani ya Dar Es Salaam

INJILI NI UWEZA WA MUNGU ULETAO WOKOVU

 Mhubiri 11:6[6]Asubuhi panda mbegu zako, Wala jioni usiuzuie mkono wako. Kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa,...
28/02/2023



Mhubiri 11:6
[6]Asubuhi panda mbegu zako,
Wala jioni usiuzuie mkono wako.
Kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa, k**a ni hii au hii, au k**a zote zitafaa sawasawa.

UTUKUFU KWA MUNGU BABA ATUPAYE MVUA NA JUA 🙏🏽

  Ayubu 22:21[21]Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Usitamani Kumjua sana Mwanadamu Kuliko k...
23/02/2023



Ayubu 22:21
[21]Mjue sana Mungu, ili uwe na amani;
Ndivyo mema yatakavyokujia.

Usitamani Kumjua sana Mwanadamu Kuliko kumjua sana Mungu, Ukimjua sana Mwanadamu unaweza Ukawa na Amani naye au usiwe na Amani naye kabisa unaweza akampenda sana Au ukamchukia na kumuogopa zaidi ya Simba,
MWANADAMU NI MWANADAMU TU



By Pastor Efraimu Edward
KLPT KAGONGWA KAHAMA
0758615325
0682615474

22/12/2022



Usiache kutangaza Ukuu na uweza wa Bwana Yesu maama unajua mahali alikutoa

DAY2 SEMINA YA CHRISTMAS

WACHA HESABU YA BOSS IENDELEEEE KUSOMA KIBABE

  @
15/12/2022



@

11/12/2022



Mak**anda wa Yesu kutoka KLPT KAGONGWA KAHAMA wakiwa kwenye harakati za kutafuta HESABU YA BOSS Mtaani

  Haiwezekani Tuvae masuti na manguo ya Gharama na kupendezesha nyumba zetu au mageto yetu halafu Nyumba ya Ibada isiwe ...
12/11/2022



Haiwezekani Tuvae masuti na manguo ya Gharama na kupendezesha nyumba zetu au mageto yetu halafu Nyumba ya Ibada isiwe nzuri, lazima nyumba ya ibada ipendeze lazima Madhabahu ya BWANA ing'ae zaidi

Nimekusogezea hiyo fulsa ya Baraka isiyo na majuto, unaweza ukashiriki kumjengea Bwana Madhabahu kwa box moja tu ya tailiz au mfuko wa Cement na Ukabarikiwa sana

Pastor Efraimu Edward
0758615325
0682615474

 Ubungo Dar es Salaamu
01/11/2022



Ubungo Dar es Salaamu

  WIKI HII IKAWE YA BARAKA KWAKO KATIKA JINA LA YESU   TUNAKUTAKIA JUMATATU NJEMA
31/10/2022



WIKI HII IKAWE YA BARAKA KWAKO KATIKA JINA LA YESU

TUNAKUTAKIA JUMATATU NJEMA

                  NENO LA SIKUHesabu 6:24-26[24]BWANA akubarikie, na kukulinda; [25]BWANA akuangazie nuru za uso wake, n...
26/10/2022



NENO LA SIKU

Hesabu 6:24-26
[24]BWANA akubarikie, na kukulinda;
[25]BWANA akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili;
[26]BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani.

KATIKA JINA LA YESU KRISTO, AMEN

Pastor Efraimu Edward
0758615325

  Asante kwa Maombi yako, Tumemaliza KONGAMANO letu la KUPOKEA NGUVU MPYAHapa PCC CHANIKA DSM Kwa  HAKIKA, TUNAHITAJI KU...
24/10/2022



Asante kwa Maombi yako, Tumemaliza KONGAMANO letu la KUPOKEA NGUVU MPYA
Hapa PCC CHANIKA DSM Kwa


HAKIKA, TUNAHITAJI KUPOKEA NGUVU MPYA KILA SIKU

Luka 11:21-22
[21]Mtu mwenye nguvu aliyejifunga silaha zake, alindapo nyumba yake, vitu vyake vi salama;

[22]lakini mtu mwenye nguvu kuliko yeye atakapomwendea na kumshinda, amnyang’anya silaha zake zote alizokuwa akizitegemea, na kuyagawanya mateka yake.

POKEA NGUVU MPYA TENA KATIKA JINA LA YESU KRISTO

AMEN

Ev.Efraimu Edward
0758615325
0682615474

  Luka 11:21[21]Mtu mwenye nguvu aliyejifunga silaha zake, alindapo nyumba yake, vitu vyake vi salama; Ndugu zangu wa Da...
17/10/2022



Luka 11:21
[21]Mtu mwenye nguvu aliyejifunga silaha zake, alindapo nyumba yake, vitu vyake vi salama;

Ndugu zangu wa Dar es salaam
Hii si ya kukosa kabisa

Ev. Efraimu Edward
0758615325

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255758615325

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efraim Edward posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share