Ahmadiyya Muslim Jamaat, Tanzania

Ahmadiyya Muslim Jamaat, Tanzania لا إله إلا الله محمد رسول الله
Islam Ahmadiyyat in Tanzania. Our motto "Love 4 All Hatred For None"

Ukurasa huu ni kwa madhumuni ya kutawanya ujumbe sahihi wa mafundisho ya Islam. Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya inaamini kwamba mafundisho ya Islam humfikisha mwanadamu katika amani na ustawi. Haja ni kuyaeleza mafundisho ya Islam katika asili ya kweli na maana ya ukweli. Ukurasa huu unaendeshwa kwa dhumuni la kuwaelewesha watu mafundisho ya Jumuiyya ya Ahmadiyya ya kwamba tunaamini sisi ni wafafanuzi sahihi wa Uislamu.

Wajumbe wa Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania wakionana na Waziri wa Maji Mhe. Juma Hamidu Aweso.Ahmadiyya Muslim ...
22/04/2026

Wajumbe wa Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania wakionana na Waziri wa Maji Mhe. Juma Hamidu Aweso.

Ahmadiyya Muslim Jamaat, Tanzania MTA International MTA3_AlArabiyya MTA Africa Pan-African Ahmadiyya Muslim Association UK

Wajumbe wa Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania walionana na Mheshimiwa Katibu mkuu wa wizara wa maji Eng. Mwajuma W...
21/04/2026

Wajumbe wa Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania walionana na Mheshimiwa Katibu mkuu wa wizara wa maji Eng. Mwajuma Waziri.

تقبل الله منا ومنكم صالح الأعمال
03/04/2026

تقبل الله منا ومنكم صالح الأعمال

بارك الله للجميع تقبل الله منا و منكم صالح الاعمال
20/03/2026

بارك الله للجميع
تقبل الله منا و منكم صالح الاعمال

بارك الله للجميع
20/03/2026

بارك الله للجميع

Katika kuadhimisha Siku ya Masihi Aliyeahidiwa a.s. March 23, mnamo tarehe 15 Machi Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Dar ...
20/03/2026

Katika kuadhimisha Siku ya Masihi Aliyeahidiwa a.s. March 23,

mnamo tarehe 15 Machi Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Dar es Salaam, katika Masjid Salaam, Dar es salaam ilisherehekewa siku hiyo kwa heshima na taadhima zote.

Eid MubarakHeri ya Siku kuu kwa wote.عيد سعيد و مبارك
20/03/2026

Eid Mubarak
Heri ya Siku kuu kwa wote.
عيد سعيد و مبارك

Maadhimisho ya Siku ya Mwana Aliyeahidiwa r.a katika chuo chetu cha kidini Jamia Ahmadiyya Tanzania
20/02/2026

Maadhimisho ya Siku ya Mwana Aliyeahidiwa r.a katika chuo chetu cha kidini Jamia Ahmadiyya Tanzania

20 FebSiku ya Mwana Aliyeahidiwa r.aاک وقت آئے گا کہ کہیں گے تمام لوگملت کے اس فدائی پہ رحمت خدا کرے
20/02/2026

20 Feb
Siku ya Mwana Aliyeahidiwa r.a

اک وقت آئے گا کہ کہیں گے تمام لوگ
ملت کے اس فدائی پہ رحمت خدا کرے

Ziara ya Mikoa Lindi na Mtwara Mhe. Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania alianza ziara yake...
10/02/2026

Ziara ya Mikoa Lindi na Mtwara
Mhe. Amir na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya Tanzania alianza ziara yake ya mikoa hizi Tarehe 2 Feb.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ahmadiyya Muslim Jamaat, Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share