Wokovu LEO

Wokovu LEO WOKOVU Leo is a flagship of VOGIM Ministries to proclaim the word of God, salvation, prayer and healing to all people

03/09/2024

JIHADHARI NA FAKE UNICEF FOUNDATION
Mithali 6: 31 Lakini mwizi akipatikana atalipa mara saba Kwa mamlaka ya Jina la Yesu tunaamuru huyu Morris na kundi lake la wezi wa mitandaoni wa huko Nairobi wakak**atwe na kutiwa hatiani na wakafilisiwe mara saba k**a andiko linavyosema katika Biblia takatifu. Fedha walizowaibia wana East Africa zikawatokee puani Wakapigwe na familia zao kwa moto wa Mungu

Hii ni foundation ambayo imejibatiza jina hilo lakini haina uhusiano na UNICEF Hii Unicef Foundation ni fake na lengo lake ni kuwaibia watu fedha kwa njia ya mtandao,
Maelezo yao wanadai wanatoa msaada wa fedha kwa wananchi wa Kenya na Tanzania kwa ajili ya kupambana na Umasikini Wanakusisitiza ukipata hizo pesa uzitumie vizuri
Mahali Walipo:
Kenya Nairobi au Mombasa
Mtu mmoja anaitwa MORRIS MWANGI-Huyu ndiye kinara wa utapeli Namba ambazo watawasiliana nawe ni k**a zifuatazo:
+254 753 03 26 78
+ 254 753 5220710
Jinsi Wanavyokuibia
1. Ujumbe wa kushawishi
2. Wanaingia kwenye akaunti ya facebook ya marafiki zako
3. Unapokea ujumbe kutoka kwao kupitia messenger ya rafiki
zako
4. Kila rafiki yako(ni Fake Unicef Foundation wamejifanya)
Ujumbe wao unakushudia Unicef Foundation ni halali naye
pia amefaidika
5. Ukijibu huo ujumbe wewe utadhani unawasiliana na rafiki yako
kumbe ni hao Fake Unicef Foundation wanakujibu Wewe
utadhani unawasiliana na rafiki yako na itakupelekea kuamini.
6. Ujumbe huo unakuwa na link ya WhatsApp.
7. Link hiyo ukibonyeza inakuunganisha nao.
8. Utatumiwa code 6 za Facebook ambazo utatakiwa ujaze na
kuwatumia.
9. Ukishatuma wanakutumia maswali ujaze jina lako na simu na
kiasi
10. Wanakutumia orodha ya kiasi cha sponsorship na kiwango
cha fedha utakazopenda kusaidiwa
11. Ukishachagua, watakuambia utume ada ya usajili, ada ya
kutransfer fedha na mwisho watakuambuia utume ada ya
money transfer kwa ajili ya Equity Benki Haijalishi una akaunti
katika benki hiyo au lah
Mwisho:
1. Hawa watu watakuwa wamewaibia watu wengi sana katika
nchi za Afrika mashariki
2. Hawa ndio waswahili majuha wenye kuwaza wizi badala ya
kutumia mitandao hii kwa njia chanya na faida
3. Hizi Akaunti za Facebook haziko salama na mitandao yote
haiko salama Kwa hiyo usijimwage kwenye hii mitandao
Imejaa majizi
Ukipokea Ujumbe wowote kutoka kwa watu hao Upuuzie ni
uwongo

08/03/2024

Growing Up Spiritually

Dear brothers and sisters, don’t be childish in your understanding of these things. Be innocent as babies when it comes to evil, but be mature in understanding matters of this kind. (1 Corinthians 14:20 )
You can’t be a kid again. But in one sense you can, because the Bible teaches that as Christians, we should be childlike in our faith. Jesus said, “I tell you the truth, unless you turn from your sins and become like little children, you will never get into the Kingdom of Heaven” (Matthew 18:3 ).
When I became a Christian, it was like a new world to me. I realized that I had so much to learn. I also realized that I really didn’t even know what I thought about so many issues in life, what really mattered, and what my priorities were.
The apostle Paul urged the believers in Corinth, “Dear brothers and sisters, don’t be childish in your understanding of these things. Be innocent as babies when it comes to evil, but be mature in understanding matters of this kind” (1 Corinthians 14:20 ).
There are some areas of the Christian life in which we should be childlike, in which we should be simple. We don’t need to know all the intricacies of evil and the way this world works. We need to maintain our dependence on God and be childlike in that way.
On the other hand, there are areas in which we need to mature and grow. Of course, there is nothing wrong with being spiritual babies when we’re new in the faith. But as the years pass, we need to become spiritually mature.
When we begin as Christians, when we put our faith in Jesus Christ, when we are born again, we start out as spiritual infants. This is true of every person, regardless of age. Everyone starts out this way in the faith.
Some people were raised in the church and have always been familiar with the Bible, with worship, and with prayer. But at some point, they realized their walk with God needed to be their own, so they made their own personal commitment to the Lord.
Others came in cold from the world. I was one of those people. I had no background in the church. I had no understanding of the Bible. And I had never worshipped God before. I knew nothing about prayer. I knew relatively nothing about Jesus.
When we’re new in the faith, it’s all so different. It’s a bit of a mystery. That’s why we need people to help us acclimate. We need to learn how to start growing up spiritually.
I like the questions that new believers ask. I like the statements they make. But best of all, I like their zeal. They’re excited about what Christ has done for them.
A church that does not have a constant flow of new believers coming in will be a church that is stagnating spiritually. New believers need more mature believers to help them get grounded. And mature believers need new believers to help remind them of what really matters in life.
We need to remain childlike with our excitement about our faith, but we also need to mature and grow spiritually.

22/05/2023

Ni furaha Sana Kuishi kwa Jasho Lako
Juzi katika kikao cha wafanyabiashara na Waziri Mkuu Tulisikia mambo ya kushangaza.
Watanzania wenzetu wanatusaliti kwa kukosa uaminifu Kukwepa kodi sio baraka ni laana Maafisa tunaowategemea. kuwalaghai kuwaibia wafanyabiashara vile ni laana Hii ni aibu Kuimasikinisha Tanzania hivi. Kuiibia serikali yako ni sawa na kuliibia taifa lako. Hii ni laana kudhoofisha uwezo wa serikali kuhudumia wananchi wake Hata hao wanaofisadi pia wanathirika Dhuluma kwenye kila sekta hapa nchini ni laana Tunajimaliza wenyewe kwa tamaa zetu.Mungu alisema USIIBE Pesa za wizi hazikusaidii kitu zaidi ya kulaaniwa mjini na mashambani, utapigwa na magonjwa, familia yako itasambaratika.Tunalisha familia fedha za wizi. Mkeo na watoto wanakuelewa je ? Endapo wanasikia baba au mama ni fisadi ? Kwa nini hulipendi taifa lako?Laana za watanzania hazitawaacha salama.Lakini Mungu bado anawapenda Yuko tayari kuwasamehe Tubuni sasa Jisalimisheni makanisani muombe toba na Mungu atawasamehe Okokeni k**a Zakayo

Baptism by Immersion after they have each one invited Jesus as his or her lord and saviour
05/08/2021

Baptism by Immersion after they have each one invited Jesus as his or her lord and saviour

Njoo kwa Yesu Msongo wako utakoma
13/03/2021

Njoo kwa Yesu Msongo wako utakoma

19/12/2020

Jisalimishe na tutakuhifadhi na Yesu atakuweka Huru na Uchawi:
atendo ya Mitume 19:19 Kutekeza vifaa vya uchawi na vitabu vya kupigia ramli au bao.Kushiriki Uchawi ni chukizo kwa Mungu Unatumiwa na shetani kuwatesa watu wa Mungu kinyume na Maombolezo 3:33. Mungu moyo wake unahuzunika sana mwanadamu anapoteseka. Wachawi hufunga maisha ya watu na husababisha utasa, ugumba na watu kukosa Kibali na katika maisha yao Hufanya watu wachukiwe na kuwaondoa thamani ya utu Hufanya hata wenye elimu washindwe kutumia elimu zao kwa faida yao na nchi.Wengi Hawapandishwi vyeo kutokana na vifungo vya uchawi. Wanadumaza maendeleo na ustawi na ustawi wa uchumi. Wachawi ni chanzo cha magonjwa na mateso Mtu yeyote mchawi ni mshirika wa shetani Mwisho wao ni kwenye moto wa milele. Wachawi hawapigwi bali wanatolewa roho za kishetani kwa uwezo wa nguvu za Mungu na kwa maombi kwa wale waliotayari kufanya hivyo.Wanakaribishwa ili Yesu awaweke huru Yohana 8:36.Usiogope maombi yetu yanazingatia utu na faragha Wewe k**a ni mchawi tutakuombea kwa faragha na hatutatoa picha zako bali vile vifaa tu.Tunakukaribisha sana

Silaha za Kichawi Zitekezwa moto(MDO 19:19)
19/12/2020

Silaha za Kichawi Zitekezwa moto(MDO 19:19)

KUCHOMA MOTO UCHAWIMatendo ya Mitume 19:19 Na wale waliokuwa wakishiriki matendo ya uchawi na kupiga ramli wakaleta vita...
19/12/2020

KUCHOMA MOTO UCHAWI
Matendo ya Mitume 19:19 Na wale waliokuwa wakishiriki matendo ya uchawi na kupiga ramli wakaleta vitabu vyao vikachomwa moto hadharani.

15/06/2020

Je!! Una ugonjwa unakusumbua kwa muda mrefu na hospitali Hakuna tumaini?Yesu anaokoa wasiliana nasi kwa maombi WhatsApp 0687637253

Address

Dar Es Salaam
0255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wokovu LEO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Wokovu LEO:

Share