27/12/2022
ZAWADI YANGU YA CHRISTMAS KWAKO NI HII HAPA π
Karibu ujifunze na uelewe kwa nini YESU ambaye ni mwana wa Mungu alihitajika kuzaliwa kwa namna ya kibinadamu yaani mwili ili aje hapa duniani aishi nasi ?
Bonyeza link iliyopo kwenye bio ya
Naomba u subscribe na kulike ili uendelee kupata mafundisho haya kila Mara tunapoweka katika chaneli yetu ya YouTube. Mungu akubariki sana.
Apostle Caleb Samuel Bandora
AREMA CHURCH Β© 2022