20/08/2025
Asalam aleyikum warahama tullah wabarakatu ndg zang katika iman tume rud kwamara nyingin tena baada yakuwashirikish jambo hili laujenz wa msikit uliopo kiluvya wilaya ya kisarawe alhamdulillah hap ndo tulipo fikia kwa sasa mahitaj ya msikiti kwasasa ni milango na madirisha pamoja na kisima cha maji ndg zang kila atakae jaliwa insha allah tunaomba wasiliana na imamu wa msikti huu namba yake 0717188066