Efatha ICT Matunda

Efatha ICT Matunda Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Efatha ICT Matunda, Religious organisation, Dar es Salaam.

Mt:Michael RangiSomo:NGUVU YA MUNGU KATIKA PENDO LAKEMathayo 16:8,Efeso 2:13, 20"tulikua mbali kwa sababu ya dhambi, tum...
18/11/2018

Mt:Michael Rangi
Somo:NGUVU YA MUNGU KATIKA PENDO LAKE
Mathayo 16:8,
Efeso 2:13, 20
"tulikua mbali kwa sababu ya dhambi, tumevutwa karibu kwa sababu ya damu ya Yesu(Ebrania 13;20-26) na kuwekwa katika misingi ya mitume na manabii"
Fundisho la kitume na kinabii limeruhusiwa kwa nyakati hizi ili kuniandaa mimi nifae kwa ajili ya safari ya mbinguni
# Nguvu ya Mungu naipata kwa kusikia(sauti ya Mungu) taarifa sahihi kutoka kwa Mungu,,,,,
>>>Hatua muhimu zitakazokufanya uweze kusikia sauti Mungu na kutembea na Roho wake
1:-Ishi sawasawa na neno la Mungu lisemavyo
2;-Jitenge na dhambi na tabia za kidunia
3;-Uwe mtu mwenye adabu na imani mbele za Mungu
4;-Uwe mtu mwenye bidii kuomba, kusoma neno la Mungu na kuwafanya wengine kufikia toba
1Sam 30;1-11, 17-20
1Sam 28;30______
***K**a hutokaa katika utaratibu huu hutoisikia sauti ya Mungu hivyo;sitopata taarifa sahihi kwa wakati sahihi kutoka kwa Mungu kuhusu yale aliyoniandalia kabla ya kuwekwa misingi ya dunia (1korintho 2;-9)

Watumishi wa Mungu wakiwa katika ibada ya kusifu na kuabudu
18/11/2018

Watumishi wa Mungu wakiwa katika ibada ya kusifu na kuabudu

IBADA YA JUMAPILI EFATHA MATUNDAKUFUNGUA IBADAMTUMISHI:ESTHER SAMUEL Zaburi 27:4_7Mungu anataka tuwe na maamuzi ili tumu...
18/11/2018

IBADA YA JUMAPILI EFATHA MATUNDA
KUFUNGUA IBADA
MTUMISHI:ESTHER SAMUEL
Zaburi 27:4_7
Mungu anataka tuwe na maamuzi ili tumuone yeye katika maisha yetu, afanye katika yale tunayotaka afanye katika maisha yetu
Amua kuwa pamoja na yeye kwa hiari yako kutembea na Mungu katika maisha yako kwa kufanya mapenzi yake na kumpenda ili umuone akitenda.

16/11/2018
Katibu wa kituo cha Efatha ministry Matunda
16/11/2018

Katibu wa kituo cha Efatha ministry Matunda

Watapokea nguvu akisha waajilia RohoMtakatifu. Ndivyo ilikuwa kwa hawa vijana wa Efatha MatundaS**i ya tarehe 11/11/2018
12/11/2018

Watapokea nguvu akisha waajilia Roho
Mtakatifu.

Ndivyo ilikuwa kwa hawa vijana wa Efatha Matunda
S**i ya tarehe 11/11/2018

12/11/2018

IBADA YA KWANZA TAREHE 11/11/2018.
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA – EFATHA MINISTRY MWENGE.
SOMO: SAFARI YA IMANI.

Unapoianza SAFARI YA IMANI hapo ndipo Mungu, watu na ibilisi watakapogundua TABIA yako, kabla hujaianza Safari ni rahisi sana kusifiwa au kujisifu lakini unapoianza hiyo SAFARI hapo ndipo magumu yanapoanza.

• Kabla hujainza SAFARI ya Imani maisha ni rahisi sana, lakini unapoianza SAFARI ya Imani ile njia nyembamba iendayo Uzimani huanza kufanya Kazi na ndipo watu watajua wewe ni nani, kwamba wewe ni mtenda Mema au Maovu.
• Utakapoianza SAFARI ya Imani Mungu atakutazama Je! UNAMUAMINI au la! Watu watagundua Je! upo kwa MUNGU au wanadamu? na ibilisi pia atagundua uko Upande gani.

Mimi kabla sijaanza SAFARI ya Imani nilijua kuwa ninamjua Mungu lakini baada ya kuanza SAFARI nikagundua kuwa simjui hata kidogo, kabla hujaanza SAFARI ya Imani utajidanganya kuwa una Muamini MUNGU na Kumjua, lakini baada ya kuanza SAFARI ndipo utagundua kuwa Haumjui na Unahitaji kujifunza ili Umjue.

Waabuduo harisi wat muabudu BWANA  katika Roho na Kweli.
11/11/2018

Waabuduo harisi wat muabudu BWANA katika Roho na Kweli.

22/10/2018
Ukombozi wa kiroho na mwili
21/10/2018

Ukombozi wa kiroho na mwili

Mashemasi wa Efatha ministry hao wakijawa na Utkugu wa mungu
09/10/2018

Mashemasi wa Efatha ministry hao wakijawa na Utkugu wa mungu

Maranyingi sana katlka kusanyika la watu wengi kwenye Ibada  ya kumuadu mungu,  Mungu hutamani kukutana na mtu mmoja ili...
23/08/2018

Maranyingi sana katlka kusanyika la watu wengi kwenye Ibada ya kumuadu mungu, Mungu hutamani kukutana na mtu mmoja ili ajitwalie sifa na utukufu.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha ICT Matunda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share