Akuzamu International Church

Akuzamu International Church The only official Akuzamu International church page. AKUZAMU is a Swahili acronym that stands for AMRI KUU ZA MUNGU. Transalation: God's Greatest Commandments .

These can be found in the book of John 13:34-35
The name of the ministry was planted in the heart of Reverend Edward Amri during one of his daily prayer and meditation sessions with God. It is during these sessions, the Holy Spirit revealed the name and the purpose of the Ministry became crystal clear

Zab 150:6 SUV"Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya."Hongera sana mwana wa Mungu kwa kufika kwenye Ibada ya Kusifu...
01/06/2026

Zab 150:6 SUV
"Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya."

Hongera sana mwana wa Mungu kwa kufika kwenye Ibada ya Kusifu na Kuabudu, tumeshuhudia matendo makuu ya Mungu akiponya wagonjwa na wenye mahitaji mbalimbali, tumeona miujiza ya Bwana kupitia kusifu na Kuabudu, hakika tunajivunia jinsi ambavyo tumetumia Pumzi kufanya kile Mungu alituahlgiza kufanya katika Zaburi ya 150:6.📌🙏🏻

31/05/2026

KARIBU KATIKA IBADA YA JUMAPILI

SOMO:"KUSIFU NA KUABUDU" NA Rev. Dr. Edward Amri

TUNAPATIKANA BAHARI BEACH KARIBU NA JAMBO SUPERMARKET

UNAWEZA KUJIUNGAMANISHA KWA KUMTOLEA MUNGU SADAKA KUPITIA NAMBA YA KANISA 0764068588
AU LIPA NAMBA 58177118 (AKUZAMU F.I CHURCH Akuzamu International Church

Shukrani Nyingi kwa watu wote waliofika katika Ibada takatifu Jumapili tar 24/05/2026 Ibada iliyogusa maisha ya wengi ku...
25/05/2026

Shukrani Nyingi kwa watu wote waliofika katika Ibada takatifu Jumapili tar 24/05/2026 Ibada iliyogusa maisha ya wengi kutokana na uwepo wa kipekee wa Nguvu za Roho Mtakatifu. Mioyo iliponywa, revival zilifanyika, ukombozi ulipatikana, mateka wa kiroho walifunguliwa, wagonjwa walipona, wenye kiu walijazwa Roho Mtakatifu.

Warumi 8:26-27
"Hali kadhalika, naye Roho anatusaidia katika udhaifu wetu. Maana hatujui inavyotupasa kuomba; lakini Roho mwenyewe anatuombea kwa Mungu kwa mlio wa huzuni usioelezeka.

Naye Mungu aonaye mpaka ndani ya mioyo ya watu, anajua fikira ya huyo Roho; kwani huyo Roho huwaombea watu wa Mungu kufuatana na mapenzi ya Mungu."🙏🏻

SUNDAY SERVICEGLORIFY GODREV. DR. E. AMRI24/05/2026Why is it so important to glorify God?It is important to glorify God ...
24/05/2026

SUNDAY SERVICE
GLORIFY GOD
REV. DR. E. AMRI
24/05/2026

Why is it so important to glorify God?

It is important to glorify God because even when Jesus came into this world, He came to glorify God.
He said this himself in John 17:4 “I have glorified You on the earth. I have finished the work which You have given Me to do.

From the beginning, God intended all of His creation in heaven and on earth to give Him glory. But Adam and Eve messed up here on earth. However, God, in His infinite love, still reserved for each of us to live a life filled with love, joy, and peace in Christ Jesus. All we need to do is rely on the Holy Spirit in every step we take..

As children of God, we’re not here on earth by chance—we’re here to fulfill a purpose that will bring glory to God. Because that is the only way to bring many people out of the slavery of darkness and into His glorious light. Therefore, refuse to allow difficult situations you are going through make you think otherwise. Because you're not of this world. God chose you out of the masses; You are a new creation, a completely different breed.

How do we glory God?

1. By lightening the world

‭‭Jesus said in Matthew‬ ‭5‬:‭16, ‬‬Let your light so shine before men, that they may see your good works and glorify your Father in heaven.”

What is light? Light is something that makes vision possible, something that illuminates and informs. Something that reveals and shows the way.
Something that gives us hope where there’s no hope. Something that brings love where there is hate

Simply put, the light is our Lord Jesus Christ, as He Himself said in
John 8:12, “I am the light of the world. He who follows Me shall not walk in darkness, but have the light of life.””

Jesus didn’t come with millions of angel to light the whole world, He was alone when He came and still He said those tremendous words.

2. By asking for anything in the name of Jesus.

Jesus said in John 14:13 “And whatever you ask in My name, that I will do, that the Father may be glorified in the Son.”

3. By doing the will of God.

‭‭John‬ ‭6‬:‭38 NKJV ‬‬For I have come down from heaven, not to do My own will, but the will of Him who sent Me.
40.And this is the will of Him who sent Me, that everyone who sees the Son and believes in Him may have everlasting life; and I will raise him up at the last day.””

24/05/2026

KARIBU KATIKA IBADA YA JUMAPILI

SOMO:"MTUKUZE MUNGU" NA Rev. Dr. Edward Amri

TUNAPATIKANA BAHARI BEACH KARIBU NA JAMBO SUPERMARKET

UNAWEZA KUJIUNGAMANISHA KWA KUMTOLEA MUNGU SADAKA KUPITIA NAMBA YA KANISA 0764068588
AU LIPA NAMBA 58177118 (AKUZAMU F.I CHURCH Akuzamu International Church

24/05/2026

WELCOME TO OUR SUNDAY SERVICE

THEME:"GLORIFY GOD" WITH Rev. Dr. Edward Amri

WE ARE LOCATED AT BAHARI BEACH NEAR BY JAMBO SUPERMARKET

OFFERING NUMBER 0764068588 (MPESA)
OR PAYBILL NO: 58177118 (AKUZAMU F.I CHURCH Akuzamu International Church

SHALOM SHALOM MWANA WA MUNGU,TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KWENYE IBADA TAKATIFU KESHO JUMAPILI. TUTAKUWA NA IBADA MBILI; IBAD...
23/05/2026

SHALOM SHALOM MWANA WA MUNGU,
TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KWENYE IBADA TAKATIFU KESHO JUMAPILI. TUTAKUWA NA IBADA MBILI;
IBADA YA KINGEREZA KUANZIA SAA 2: ASUBUHI MPAKA SAA 4:00 ASUBUHI

IBADA YA KISWAHILI KUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI MPAKA SAA 7:30 MCHANA.

K**A UNAPENDA KUJUA NENO LA MUNGU BASI AKUZAMU NI SEHEMU SAHIHI YA KUJIFUNZIA📌

KARIBU SANA, TUNAKUPENDA❤️❤️

22/05/2026

KARIBU KATIKA IBADA YA IJUMAA

SOMO:"MOYO MKUNJUFU" NA Rev. Dr. Edward Amri

TUNAPATIKANA BAHARI BEACH KARIBU NA JAMBO SUPERMARKET

UNAWEZA KUJIUNGAMANISHA KWA KUMTOLEA MUNGU SADAKA KUPITIA NAMBA YA KANISA 0764068588
AU LIPA NAMBA 58177118 (AKUZAMU F.I CHURCH Akuzamu International Church

Karibu sana kwenye ibada yetu ya ijumaa mtu mzuri wa Mungu.  Tutakuwa na mtumishi wa Mungu baba yetu Rev. Dr. Edward Amr...
21/05/2026

Karibu sana kwenye ibada yetu ya ijumaa mtu mzuri wa Mungu. Tutakuwa na mtumishi wa Mungu baba yetu Rev. Dr. Edward Amri akitufundisha kwa habari ya "MYO MKUNJUFU" Usipange kukosa.

MWANA WA MUNGU, ASANTE SANA KWA KUFIKA IBADANI SIKU YA LEO, TUMEUONA UTUKUFU WA MUNGU WA KWANZA KWA NAMNA YA AJABU. ASAN...
17/05/2026

MWANA WA MUNGU, ASANTE SANA KWA KUFIKA IBADANI SIKU YA LEO, TUMEUONA UTUKUFU WA MUNGU WA KWANZA KWA NAMNA YA AJABU. ASANTENI KWA SHUHUDA MBALIMBALI, ASANTENI KWA MATOLEO YENU, MUNGU AZIDI KUWABARIKI SASA NA HATA MILELE📌🙏🏻

ASANTE KWA WAGENI WETU WALIOTUTEMBELEA SIKU YA LEO, SIFA NA UTUKUFU NI KWA MUNGU BABA.

TUNAKUPENDA UPEO (1KOR 13:1-13)

Address

P. O. BOX 2554
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Akuzamu International Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share