Prophet Nicolaus Suguye

Prophet Nicolaus Suguye This is the only official page for Nicolaus Suguye, The Church and . God is the same yesterday, Today and Forever”

The Word of Reconciliation Ministries
Kivule, Dar es salaam , Tanzania

Hongera kwa kufika kwenye Ibada kanisani WRC siku ya Leo hakika wewe ni mshindi umebarikiwa.
10/05/2026

Hongera kwa kufika kwenye Ibada kanisani WRC siku ya Leo hakika wewe ni mshindi umebarikiwa.

Usikubali kukosa kufika leo kanisani WRC kivule Matembele ya pili kwenye Ibada kubwa ya KUPEWA MAJI YA MVUA YA UPAKO BUR...
10/05/2026

Usikubali kukosa kufika leo kanisani WRC kivule Matembele ya pili kwenye Ibada kubwa ya KUPEWA MAJI YA MVUA YA UPAKO BUREE pamoja na kupita kwenye KISIMA CHA NEEMA, Bado hujachelewa leo ni siku yako ya kubarikiwa na kifunguliwa.

Leo Natoa MAJI YA MVUA YA UPAKO  BUREE NA KUPITA KWENYE KISIMAUtakunywa ili KUFUTA MAGONJWA NDANI YAKO NA PIA UTAPITA KI...
10/05/2026

Leo Natoa MAJI YA MVUA YA UPAKO BUREE NA KUPITA KWENYE KISIMA

Utakunywa ili KUFUTA MAGONJWA NDANI YAKO NA PIA UTAPITA KISIMANI ILI KUFUTA NUKSI NA MIKOSI JUU YA MWILI WAKO.

KARIBU KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI IBADA YA 1 NA SAA SITA MCHANA IBADA YA PILI

NJOO NA FAMILIA YAKO .....KATAA KUTESEKA YESU ANAWEZA.

MAHALI NI KIVULE MATEMBELE YA PILI DARESALAAM TANZANIA
NDANI YA KANISA LA WRC

Hii si ya kukosa kabisa 🔥🔥🔥🔥 Jumapili ya Kesho ni HITIMISHO LA KONGAMANO LA UREJESHO WA NGUVU YA MWANAMKE pamoja na kupi...
09/05/2026

Hii si ya kukosa kabisa 🔥🔥🔥🔥 Jumapili ya Kesho ni HITIMISHO LA KONGAMANO LA UREJESHO WA NGUVU YA MWANAMKE pamoja na kupita kwenye KISIMA CHA NEEMA
Tutakusanyika Watu wote wanawake kwa wanaume na Kila atakaefika atapewa KIFAA CHA KIROHO "MAJI YA MVUA YA UPAKO" BUREE kuanzia saa 1 Asubuhi, Kanisani WRC KIVULE, Watu wote wanakaribishwa!

08/05/2026

JUMAPILI HII 10.5.2026 SI YA KUPANGA KUKOSA
Mtumishi wa Mungu Chief Prophet Nicolaus Suguye ATAGAWA MAJI YA MVUA YA UPAKO BUREE kwa Watu wote pamoja na kupita kwenye kisima Neema kuanzia saa 1:00 asubuhi na kuendelea kanisani WRC kivule Matembele ya pili, Watu wote mnakaribishwa hakuna kiingilio.

Leo ni siku yako usikose
08/05/2026

Leo ni siku yako usikose

08/05/2026

Leo ni siku ya pili ya kongamano la UREJESHO wa nguvu ya Mwanamke ndani ya kanisa la WRC Kivule Matembele ya pili kuanzia saa 9 alasiri

NI IBADA YA UNABII, UPONYAJI NA KUFUNGULIWA

07/05/2026

Kesho ni siku ya Pili ya KONGAMANO LA UREJESHO WA NGUVU YA MWANAMKE,
Ewe Mwanamke hii si ya kukosa! Ni kuanzia saa 9 Alasiri kanisani WRC KIVULE MATEMBELE YA PILI, wanawake wotee wanakaribishwa!

Mwanamke mwenye Hekima husaidia wenye uhitaji, muhitaji haji kufyoza fedha zako bali anakuja kuongeza fedha zako, akija ...
07/05/2026

Mwanamke mwenye Hekima husaidia wenye uhitaji, muhitaji haji kufyoza fedha zako bali anakuja kuongeza fedha zako, akija muhitaji anakuomba kitu mkunjulie mikono yako ata k**a ni kidogo mpe maana amekuja kuyainua Maisha yako na sio kuyabomboa. Usimuone muhitaji kwamba amekuja kukuroga, aliyebarikiwa na Mungu harogeki.

Siku ya kwanza ya Kongamano la UREJESHO WA NGUVU YA MWANAMKE.

Nguvu na Heshima ya Mwanamke inatoka kwenye hekima ya kufanya kazi, inayowekwa na Mungu ndani ya Mwanamke na sio Kila ka...
07/05/2026

Nguvu na Heshima ya Mwanamke inatoka kwenye hekima ya kufanya kazi, inayowekwa na Mungu ndani ya Mwanamke na sio Kila kazi anaweza kufanya. Wako baadhi ya wanawake wameangukia katika vitendo vya kujiuza ili wapate kipato, hiyo sio heshima na Nguvu Mungu anayoitaka kutoka kwako.

Siku ya kwanza ya Kongamano la UREJESHO WA NGUVU YA MWANAMKE.

Ni mpango wa Mungu kwamba mwanamke aliye na sifa za kuwa Mwanamke hatakiwi kuwa Mwanamke aliyechoka mbaya, anatakiwa kuw...
07/05/2026

Ni mpango wa Mungu kwamba mwanamke aliye na sifa za kuwa Mwanamke hatakiwi kuwa Mwanamke aliyechoka mbaya, anatakiwa kuwa Mwanamke mwenye Nguvu na mwenye heshima. Mithali 31:10-31.

Siku ya kwanza ya Kongamano la UREJESHO WA NGUVU YA MWANAMKE.

Address

Kivule
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet Nicolaus Suguye posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share