Tucasa IFM DAR

Tucasa IFM DAR SEVENT-DAY ADVENTIST CHURCH

Happy Sabbath 💐
15/08/2025

Happy Sabbath 💐

*NI AGOSTI ,LAKINI HAUELEWI !*Ni mwezi mwingine ikiwa imebaki miezi michache KWENDA 2026.Unavaa unapendeza,unacheka na w...
02/08/2025

*NI AGOSTI ,LAKINI HAUELEWI !*

Ni mwezi mwingine ikiwa imebaki miezi michache KWENDA 2026.
Unavaa unapendeza,unacheka na watu, lakini moyoni unajua kuna kitu hakiko sawa.
Unaendelea kurudia mambo uliyosema utayaacha Toka 2020.

✍️Siyo kwamba huna nguvu ,Na sio kwamba hausomi neno,na sio kwamba hauna juhudi,ni kwamba umekataa YESU asiwe dereva wa Maisha Yako!
Hivyo umejaribu kujikamilisha Kila kitu mwenyewe.
Elimu Yako, marafiki, mahusiano ,uchumi,
Mwili wako ,vyote umeamua kusimamja bila kumpa MHANDISI MKUU (YESU).
Sikiliza rafiki,Maisha Yako hayatasimama kamwe kwa kumuweka Yesu k**a ziada,unamwitaji yeye ndiye mwanzo na mwisho,alikuwepo,yupo ,na milele ataishi.
Jiulize,Je, unamwitaji kweli?
Ama unataka tu upone maumivu yako bila kubadilisha maisha yako?
Ukweli ni huu: hautaweza kumaliza safari hii bila Yeye.
Maisha si maisha, k**a hayana YESU.

Ellen G. White aliwahi kusema:
"Hatuwezi kuishi maisha ya kiroho bila kujikana nafsi kila siku, k**a Yesu alivyoishi."

✍️Sasa ni wakati wa kuachia usukani.
Bado una hofu,kiburi,dharau ,majivuno ,wivu ,manung'uniko,tamaa,
hasira,vilio..nk

Yesu hajakuchoka, Bado anakupa mwezi huu mpya Agosti ,k**a nafasi ya kuanza tena.
Si kwa nguvu zako Si kwa akili zako
Ni kwa Neema Yake,na kwa kwa kutegemea yeye.
_MUNGU akusaidie sana unapofanya maamuzi magumu,huhitaji pesa nyingi,huhitaji mpenzi,huhitaji kitu kingine chochote ,unamuhitaji YESU_

🙏BARIKIWA
WITH YOUR FRIENDS
https://www.facebook.com/profile.php?id=61562290635752

27/07/2025
10/05/2025

Hi, everyone it is another day
29/03/2025

Hi, everyone it is another day

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Wednesday 00:00 - 23:45
Friday 00:00 - 23:45
Saturday 00:00 - 23:45

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tucasa IFM DAR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share