Pastor Adam Bupi

Pastor Adam Bupi HUDUMA YA MAVUNO
Madhumuni ya Huduma hii ni Kuinua Kazi ya Mungu ili Iwafikie Wengine. Karibu Sana Tumvunie Bwana Matunda

Mara zote usiwe mtu wa kuwaza kushidwa tu. Badirisha fikira zote waza Kushida zaidi hata k**a Mara nyingi huwezi kushida...
27/06/2024

Mara zote usiwe mtu wa kuwaza kushidwa tu.
Badirisha fikira zote waza Kushida zaidi hata k**a Mara nyingi huwezi kushida jaza ndani yako kushida.
Inawezekana

Siyo muda wote umevaa koti la Askofu. Wakati mwingine wanavaa koti la sifa za Bwana zivume.
27/06/2024

Siyo muda wote umevaa koti la Askofu.
Wakati mwingine wanavaa koti la sifa za Bwana zivume.

Maadhimisho ya watoto. Hili ni wiki la watoto
25/06/2024

Maadhimisho ya watoto.
Hili ni wiki la watoto

Mungu anahaja na wewe
24/10/2023

Mungu anahaja na wewe

Nafurahi kuwa mwanamume. na kuwa wakati dunia inamtambua baba.Najaribu kuwaza kwa sauti kwa baba hana wanaharakati wa ku...
19/06/2023

Nafurahi kuwa mwanamume. na kuwa wakati dunia inamtambua baba.
Najaribu kuwaza kwa sauti kwa baba hana wanaharakati wa kumtetea isipokuwa wanamke anawana harakati wa kumtetea..

Na mwanaume huyu huyu husemwa kwa mabaya kuwa yeye ni katili nk.
ila huyu baba ndo chazo cha unzalishaji
uchumi wa family
kuongeza family...
Usimseme vibaya mwanamme.tambua k**a unamtoto wa kiume na unasema mabaya kwa wanaume basi mwanao huyo wa kiume..una mlaani mwenyewe.

20/05/2023
Msako wa fukuza mapepo
20/05/2023

Msako wa fukuza mapepo

Huu ni msako fukunza mapepo
20/05/2023

Huu ni msako fukunza mapepo

20/05/2023
Africa mission International.Mch Adam luchenja0767132121
18/03/2020

Africa mission International.
Mch Adam luchenja
0767132121

Address

WCC Mbezi Beach (African) Kituo Cha Rafia
Dar Es Salaam

Telephone

+255767132121

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Adam Bupi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category