AMKA Awareness Ministry

AMKA Awareness Ministry AMKA AWARENESS MINISTRY we serve the omnipresent, omniscient and omnipotent God. We are located at Oysterbay Dar es salaam Tanzania

04/01/2022
Happy birthday imamu.Heri ya siku ya kuzaliwa maamuma.KUMBUKA ULIKOTOKA, naam ULIPOZALIWAUkija Zanzibar utawakuta ng'omb...
13/12/2021

Happy birthday imamu.
Heri ya siku ya kuzaliwa maamuma.
KUMBUKA ULIKOTOKA, naam ULIPOZALIWA
Ukija Zanzibar utawakuta ng'ombe wanabeba mizigo k**a punda wa kule Singida, lakini heshima ya hawa ng'ombe sio k**a ya punda maana hawaitwi punda,wanaitwa ng'ombe. Je,wewe unaitwa nani? na Je,Wewe ni nani?
Uasili wako ni nguvu naam nguvu ya upendo,nguvu yenye mvuto ikavutika na ikavutia. Ulilivutia yai na ukavutika kwalo kwa kuwa ni wa mfanano wa asili, ukauvaa mwili ili ukusaidie kuiishi asili yako ya upendo pamoja na wenye miili katika ulimwengu wa mwili,ukazaliwa kwetu. Tukakupokea, tukaanza mchakato wa kukuvua uasili wako ili usiweze kuishi kwa nguvu yako ya upendo, naam kuvutia na kuvutika.Tuliyafanya haya yote pasipo kukusudia kwa kuwa hata sisi tulifanyiwa na waliofanyiwa pasipo kukusudia. Tukakuita majina,majina yaliyokufanya ujione bora dhidi ya akina fulani au duni zaidi yao, hivyo ukaanza kuvuta badala ya kuvutia na ukaruhusu kuvutwa badala ya kuvutika. Tulikuita Baraka,tulikuita mwanaume,tulikuita mkatoliki, tulikuita mmatengo,tulikuita mweusi,tulikuita mtoto wa kwanza,tulikuita mtoto wa mwalimu, tulikuita .....nakadhalika nakadhalika. Majina haya kila yaliporudiwa kuitwa masikioni mwako,yalitengeneza mawazo,mtazamo,imani na utamaduni kwako na kukuzidi kukusahaulisha uasili wako kiasi cha wewe kuamini hivyo tunavyokuita ndivyo ulivyo na ndio utofauti wako na watu/viumbe wengine wote unavyochangamana navyo hapa ulimwenguni. Hatukuishia hapo tu,tulikupa tafsiri ya kila kionekanacho na kisichoonekana ulimwenguni naam tafsiri zilizoathiri mtazamo wako kwenye kila ulichokiona,kihisi,kionja,kisikia na kukinusa,Milango uliyopewa kukupa ufahamu ikageuka kukufumba ufahamu. Tuliamua usome wapi,usome nini,uwe nani,ili ufanye nini na kwa manufaa ya nani. Naam umekuja tukiwa tumeshaandaa mfumo tayari wa wewe kuufuata utake au usitake, Umeazaliwa kutumika, naam wewe ni mtumishi na mtumwa linganifu na tafsiri na majina tuliyokupa. Tumekufundisha kuvuta kupitia nguvu tulizokuaminisha unazo,tumekufanya uvutwe kupitia udhaifu tuliokuaminisha kuwa unao. Tafsiri ya hisia zako na uhalisia wa mambo pasipofahamu uasilia wake vimekufanya uwe imamu zumbukuku machoni mwa maamuma. (Ahsante kwa ujumbe kwaiyo nifanye nini?) Jibu:Ukija Zanzibar utawakuta ng'ombe wanabeba mizigo k**a punda wa kule Singida, lakini heshima ya hawa ng'ombe sio k**a ya punda maana hawaitwi punda,wanaitwa ng'ombe. Je,wewe unaitwa nani? na Je,Wewe ni nani?
UKIIJUA KWELI UTAKUWA HURU KWELI KWELI. Kujitambua ni Kujikomboa.
AmkaBeAwareBeAlive

MUNGU ni Athumani.Kuna rafiki yangu anaitwa Baraka Francis siku moja alimuuliza rafiki yetu mmoja "Ivi wewe unapomuomba ...
16/11/2020

MUNGU ni Athumani.
Kuna rafiki yangu anaitwa Baraka Francis siku moja alimuuliza rafiki yetu mmoja "Ivi wewe unapomuomba Mungu huwa sura gani inakujia, yaani ni nani hasa huwa unamuona unapokuwa unaongea na Mungu, au ikitokea siku Mungu amekutokea ivi unahisi atakutokea kwa sura ipi?"
Naye akajibu "Mungu ni mbabu wa kizungu mwenye madevu mengi na mwenye sura iliyojaa busara nyingi sana " Hili lilinitafakarisha sana.
Labda nikuulize na wewe ivi MUNGU WAKO YUPOJE ana umbile na sura gani?
Je,ni nani aliyewahi kumuona Mungu hata akatuthibitishia kuwa ana sura na umbile gani? Ana jinsia gani?ana umri gani?ana rangi gani? Ni mwenyeji wa wapi? Usijali, UPO SAHIHI KATIKA HILO JIBU LAKO jipigie makofi.
Ukiniuliza swali hilo mimi nitakujibu kuwa Mungu yupo k**a wewe unapokuwa mwema kwa wengine na Mungu yupo k**a mimi ninapokuwa mwema kwako. Mungu yupo katika macho yangu kwa kila namna njema ninayojichukulia binafsi na ninayomchukulia jirani yangu kwa maana KAMUUMBA KILA MTU KWA MFANO WAKE. Basi ikiwa haujawahi kumuona Mungu,jiangalie kwenye kioo, ikiwa haujawahi kumuona Mungu basi mwangalie jirani yako.
K**a kweli unataka kuwa mtakatifu na unaitaka pepo/mbingu, k**a kweli unataka kuwa mkamilifu mtimilifu basi anza kujifunza kumuona Mungu kwa kila kinachokuzunguka kwa maana alikiumba yeye akakiona ni chema, na alimuumba mtu tena kwa mfano wake. K**a unaweza kumuona ibilisi kupitia watu na watu wanaweza kumuona ibilisi kupitia wewe basi jifunze kumuona Mungu pia.
Ikiwa wewe ni Mungu, je waweza kujikatia tamaa, je waweza kujiharibu, je waweza kutumia mwili na akili yako kwa kuumiza na kutesa wengine? Je, izo ndio sifa za Mungu?
Ikiwa jirani yako ni Mungu, je waweza kumnena kwa mabaya?je waweza kumfanyia kinyongo, je waweza kushindana nae? Je waweza kumnunia, je waweza kutomsamehe? Je waweza kumuonea wivu? Je waweza kumjibu ovyo? .....au haukusoma kuwa lolote ulilomtendea mmoja, ulimtendea yeye?
Acha kumtafakari Mungu kupitia wasanii wanavyomchora katika filamu na vitabu, kwa nini wamuona babu yako ni mchawi ila babu wa kizungu ni Mungu? Mbona unasahau kwa haraka kuwa nawe ni babu mtarajiwa? Na kwa nini Mungu asiwe kijana, mtoto, binti, mwanaume au mwanamke? HABARI NJEMA NI KWAMBA vile unavyomchukulia Mungu na ndivyo atakavyojidhihirisha kwako.
SIKU IKIFIKA kila mtu akamuangalia kila mtu duniani k**a Mungu basi makanisa, misikiti, mapango na mahekalu yatakosa thamani na dunia itarudi kuwa peponi, paradiso, mbinguni na edeni.
Ndiposa yale maneno ya waabuduo halisi.....na kweli yeye na baba watakaa ndani na kufanya makao ya milele...na HIYO SIKU NI SASA.
KUJITAMBUA NI KUJIKOMBOA.
Hii Mungu si Athumani ndio imetufikisha hapa.
AMKA, be AWARE, be ALIVE
https://chat.whatsapp.com/L5Aak92ky4vFoDuyxuhcx5

21/10/2020

Karibu sana wana Dar es salaam na mikoa ya jirani.

Karibu Zanzibar! Karibu Maru Maru Hotel Karibu Maru Maru Karibu Celebrations At Marumaruhotel Karibu maru maru hotel Zan...
08/06/2020

Karibu Zanzibar! Karibu Maru Maru Hotel Karibu Maru Maru Karibu Celebrations At Marumaruhotel Karibu maru maru hotel Zanzibar Friends Karibu Lunchtime Company Limited Karibu Baraka Frances
Copied 6th June, 2020 .
"The Minister for Information, Tourism and Heritage of Zanzibar, Hon. Mahmoud Thabit Kombo officially announced today Saturday 6th June 2020 on the opening up of the Zanzibar Destination for Tourism and Returning Residents thus removing the Quarantine Barriers for both Tourists and Returning Residents.
The Quarantine conditions were imposed due to Corona and Covid19 infections globally that were announced on 23rd March by the same Minister for both Charter and Scheduled Flights into Zanzibar.
By opening up and welcoming the Tourists back to Zanzibar, Minister Kombo clearly stipulated the Precautionary Conditions and Preparedness Plans that Zanzibar Government has established in a Press Conference that was attended by all the relevant authorities in Zanzibar.
Announcing the Reopening Brand of Zanzibar, A Unique Spicy Destination, he also announced and launched the new Commission of Tourism Board of Commissioners that was nominated recently assigning them the task of making sure the Tourism World is fully taken care of on all the health risks during this period of global outbreak and making sure all the visitors and tourists to Zanzibar are safe and feel safe whilst enjoying their dream holidays and holidays of lifetime in this Unique Spicy Destination.
Some of the major participants of this Press Conference was The Acting Director General of The Zanzibar Airports Authority who has been assigned the Task of being the first person to receive and last to bid farewell to all the Tourists and Visitors visiting Zanzibar during this Opening up Unique Destination.
Others attending were Head of Airport Immigration and Visa Services, The Union Police Force, Special Forces from Zanzibar, Ministry of Health Medical Experts, Director General Disaster Commission of Zanzibar, Ministry of Transport and Communications, Commission for Tourism, Ministry for Tourism, Information and Heritage Principal And Deputy Principal Secretaries, and other Zanzibar Government officials.
The Private Sector through the Chamber of Commerce, Industries, Trade and Agriculture; Zanzibar Association of Tourism Investors and Zanzibar Association of Tour Operators including Zanzibar Association of Tour Guides were also in attendance in this very special occasion.
One of the main condition set is International Travel Medical Insurance as a necessity for all inbound tourists that will cover the costs for any mishaps that may occur as per the Preparedness plans. The Minister assured the audience present and the Journalist on a Live Broadcast on National Television and Radio Stations of ZBC standing for Zanzibar Broadcasting Corporation and multitude of both National and International Journalists and Media Professionals.
Minister Kombo also used this opportunity to convey Greetings of The Zanzibar President Dr. Ali Mohamed Shein in Welcoming back the Visitors to Zanzibar, a Unique Destination and also urge all the Health Guidelines to be followed from the entry to the exit points including introduction of the Standard Operating Protocols SOPs covering for the Airport and Sea Port, Airport Transfers to The Hotels and White Sandy Beach Resorts to Excursions on Spice Farms and Spice Tours including Swimming with the Dolphins in their Natural Habitat.
Minister Kombo also insisted on Zanzibaris to continue observing all Precautionary measures and guidelines set by the Health and Medical Experts in Zanzibar. The Beachboys and Non Licensed Tour Guides without possessing ZTC identities will all be banned and stringent measures taken against them in order to avoid the crowding on the beaches that may cause health risks to locals and the tourists as well.
The Minister also officially introduced the clear guidelines set by the Government for the whole industry including The Hoteliers and Tour Operators. The first flight of Ethiopian Airlines is expected to land tomorrow followed by Oman Air, then Fly Dubai and Qatar Airways who have all indicated their landing dates within the month of June 2020."

Next destination
26/01/2019

Next destination

Be responsible tourist
27/06/2018

Be responsible tourist

Address

Oysterbay
Dar Es Salaam

Telephone

+255715439205

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AMKA Awareness Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to AMKA Awareness Ministry:

Share

Category