Kanisa la Moravian Ushirika wa Malamba mawili-Dsm

Kanisa la Moravian Ushirika wa Malamba mawili-Dsm Karibu Uabudu nasi. Jumapili
Muda: saa 3:00 Asubuhi 6:30 Mchana
NYOTE MNAKARIBISHWA

kanisa la moravian Tanzania (KMT)
Jimbo la Mashariki
Ushirika wa Malamba Mawili-King'azi Daresalam Tanzani
Email:
[email protected]
Ibada kuu.

24/06/2026

Ibaada ya Tarehe 21.06.2026
wamuabuduo Mungu wanapaswa kumuabudu katika Roho na Kweli

24/06/2026

Mtumikie Mungu katika Roho na kweli.
Ibaada yetu ni kila jumapili kuanzia saa 3:00 Asubuh had saa 6 Mchana.
karibu tumsifu na kunifunza neno la Mungu.

Utulivu wa kumsikiliza Mungu.
16/03/2026

Utulivu wa kumsikiliza Mungu.

Mungu akubariki kwa sadaka yako .Malaki 3:10Mungu akubariki. tuna uhitaji wa kumalizia kukomboa ardhi kwa ajiri ya kanis...
19/02/2026

Mungu akubariki kwa sadaka yako .
Malaki 3:10
Mungu akubariki. tuna uhitaji wa kumalizia kukomboa ardhi kwa ajiri ya kanisa. na ujenzi uweze kuendelea

Kanisa la Huanzia Huku.Mungu aendelee kuwabariki wazazi na walezi mnao wafundisha watoto kumjua Mungu Tangu utoto wao.Mi...
19/02/2026

Kanisa la Huanzia Huku.
Mungu aendelee kuwabariki wazazi na walezi mnao wafundisha watoto kumjua Mungu Tangu utoto wao.Mithali 26:6

19/02/2026

Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakae pamoja na kwa Umoja.Zaburi 133:1-3
Karibu kanisa la Moravian Ushirika wa Kanani Malamba Mawili.
ukishuka malamba mwisho, chukua boda waambie naenda matuta barabara ya king'azi. utakuwa umefika.

Ibaada ya tarehe 15.02.2026
17/02/2026

Ibaada ya tarehe 15.02.2026

wakili wa ushirika akisoma Historia ya Ushirika wa Kanani Moravian
02/02/2026

wakili wa ushirika akisoma Historia ya Ushirika wa Kanani Moravian

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 16:00 - 17:15
Tuesday 16:00 - 23:45
Thursday 17:00 - 19:45
Friday 17:00 - 19:30
Saturday 15:45 - 20:00
Sunday 07:00 - 14:45

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa la Moravian Ushirika wa Malamba mawili-Dsm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category