VIJANA NA UTUMISHI

VIJANA NA UTUMISHI Taasisi ya kipentekoste yenye kuwajenga VIJANA kumtumikia MUNGU. Huduma zetu | Semina/Makongamano | Vitabu | Ushauri | Misaada

Established since 2014, This is a Pentecostal based organization centered to build up and mold youths to serve God in holiness and purity

Our contacts:
Phone: +255 (0) 764771298
E-mail: [email protected]
Dar - es - salaam, Tanzania

Download hivi vitabuShalom mtumishi Bonyeza jina la kitabu ku DOWNLOAD Mambo Muhimu kwa Mwalimu wa Biblia Unapoandaa Som...
16/06/2026

Download hivi vitabu

Shalom mtumishi Bonyeza jina la kitabu ku DOWNLOAD Mambo Muhimu kwa Mwalimu wa Biblia Unapoandaa Somo 5,000.00 TZS 4,500.00 TZS Chochea Kipaji Chako 5,000.00 TZS 4,500.00 TZS Ushindi katika hali ngumu 7,000.00 TZS 6,500.00 TZS Sadaka ya fungu la kumi ni nini? 3,500.00 TZS Tumia Fursa Tengeneza Biashara 6,000.00 TZS 4,999.00 TZS HILI NI NENO LA KUFAA KWAKO - Siku 21 za kukua, kujijenga na kujiimarisha kiroho…...

Shalom mtumishi Bonyeza jina la kitabu ku DOWNLOAD Mambo Muhimu kwa Mwalimu wa Biblia Unapoandaa Somo 5,000.00 TZS 4,500.00 TZS Chochea Kipaji Chako 5,000.00 TZS 4,500.00 TZS Ushindi katika hali ng…

MAANA MBILI ZA KUOKOKA – 22. Kuokoka ni kuyahesabu mambo ambayo ni faida kwetu kuwa hasara kwa ajili ya Kristo. “7 Lakin...
20/05/2026

MAANA MBILI ZA KUOKOKA – 2

2. Kuokoka ni kuyahesabu mambo ambayo ni faida kwetu kuwa hasara kwa ajili ya Kristo. “7 Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, naliyahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Kristo. 8 Naam, zaidi ya hayo, nayahesabu mambo yote kuwa hasara kwa ajili ya uzuri usio na kiasi wa kumjua Kristo Yesu, Bwana wangu; ambaye kwa ajili yake nimepata hasara ya mambo yote nikiyahesabu kuwa k**a mavi ili nipate Kristo;” – Wafilipi 3:7 – 8…...

2. Kuokoka ni kuyahesabu mambo ambayo ni faida kwetu kuwa hasara kwa ajili ya Kristo. “7 Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, naliyahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Kristo. 8 Naam, z…

BUNDLE.
05/05/2026

BUNDLE.

MAANA MBILI ZA KUOKOKA – 1Kuokoka si neno jipya kwetu kwa sababu tumekwisha kuokoka. Ninapojitambulisha mahali nikasema ...
01/05/2026

MAANA MBILI ZA KUOKOKA – 1

Kuokoka si neno jipya kwetu kwa sababu tumekwisha kuokoka. Ninapojitambulisha mahali nikasema “mimi nimeokoka”, watu wanafahamu mimi ni watu wa aina gani. Tulipofikia sasa, hata watu ambao bado hawajaokoka unapowaambia habari za kuokoka tayari wana picha ya kitu unachozungumza. Lakini tujiulize tena swali hili, “Nini maana ya kuokoka?”. Mimi na wewe tunaweza kulijibu swali hili kwa undani wake?. Basi leo tutajikumbusha tena nini maana ya kuokoka na tutajifunza maana mbili za kuokoka....

Kuokoka si neno jipya kwetu kwa sababu tumekwisha kuokoka. Ninapojitambulisha mahali nikasema “mimi nimeokoka”, watu wanafahamu mimi ni watu wa aina gani. Tulipofikia sasa, hata watu ambao bado haw…

Nukuu 24 Bora kutoka kitabu cha Hisa, Hatifungani, Vipande.“Ni bora uonekane ‘bahili’ leo huku unajenga ufalme wako wa k...
06/04/2026

Nukuu 24 Bora kutoka kitabu cha Hisa, Hatifungani, Vipande.

“Ni bora uonekane ‘bahili’ leo huku unajenga ufalme wako wa kifedha, kuliko kuwa ‘mtu wa watu’ leo halafu kesho uwe mzigo kwa watu hao hao.” “Siri ya utajiri siyo kiasi cha pesa unachopata, bali ni nidhamu ya kile unachokitunza.” “Uwekezaji ni safari ya uvumilivu na maarifa.” Bonyeza hapa kusoma mapitio ya kitabu hiki “Uwekezaji siyo muujiza. Ni mchakato unaohitaji nidhamu, maarifa, na subira.”...

“Ni bora uonekane ‘bahili’ leo huku unajenga ufalme wako wa kifedha, kuliko kuwa ‘mtu wa watu’ leo halafu kesho uwe mzigo kwa watu hao hao.” “Siri ya utajiri siyo kiasi cha pesa unachopata, bali ni…

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VIJANA NA UTUMISHI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to VIJANA NA UTUMISHI:

Shortcuts

Share