Msimbazi SDA Church

Msimbazi SDA Church HILI NI KANISA LA WAADVENTISA WASABATO KATIKA MTAA WA MSIMBAZI,GONGO LA MBOTO,DAR ES SALAAM LIKIWA NI SEHEMU YA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO ULIMWENGUNI

13/03/2016
MAHUBIRI YA MORNING STARMahubiri yanayoendeshwa na kanisa la waadventista wasabato msimbazi yanaendelea na yatafungwa wi...
20/07/2015

MAHUBIRI YA MORNING STAR
Mahubiri yanayoendeshwa na kanisa la waadventista wasabato msimbazi yanaendelea na yatafungwa wiki hii hapa kanisani kwa sherehe kubwa KARIBUNI SANA. Wiki hii tulikuwa na ubatizo na tulishuhudia Watu tisa wakibatizwa . K**a ni hitaji lako kubatizwa njoo kanisani msimbazi jumamosi hii.

12/07/2015

Tarehe 11/7/2015 tulikuwa na ubatizo uliofanyika kutokana effort yetu inayoendelea kwenye redio yetu ya morning star hakika tulibarikiwa Saba

Sabato ya jana ilikuwa ya pekee pale shule ya sabato walipoyatunuku zawadi madarasa ya shule ya sabato ambayo yamefanya ...
12/07/2015

Sabato ya jana ilikuwa ya pekee pale shule ya sabato walipoyatunuku zawadi madarasa ya shule ya sabato ambayo yamefanya vizuri kwa robo nzima

UBATIZO WA MTAATarehe 13/6/2015 ilikuwa siku ya ubatizo WATU wanne walibatizwa kutoka kwenye kundi letu la mnadani walib...
14/06/2015

UBATIZO WA MTAA
Tarehe 13/6/2015 ilikuwa siku ya ubatizo WATU wanne walibatizwa kutoka kwenye kundi letu la mnadani walibatizwa na wengine wengi zaidi ya hamsini kutoka makanisa mengine ya mtaa wa MSIMBAZI walibatizwa HAKIKA ILIKUWA SABATO YA PEKEE

SOMO :MAARIFA MAKUUUjumbe wa IBADA ya leo KITABU HIKI CHA TORATI KISITOKE KINYWANI MWAKO yoshua 1:8
23/05/2015

SOMO :MAARIFA MAKUU
Ujumbe wa IBADA ya leo KITABU HIKI CHA TORATI KISITOKE KINYWANI MWAKO yoshua 1:8

Karibuni sana katika ibada ya leo katika kundi letu la PUGU MNADANI
23/05/2015

Karibuni sana katika ibada ya leo katika kundi letu la PUGU MNADANI

Jumamosi hii ilikuwa ni siku muhimu kwa kanisa na mtaa wetu wa MSIMBAZI pale tuliposali na mwenyekiti wetu wa conference...
06/05/2015

Jumamosi hii ilikuwa ni siku muhimu kwa kanisa na mtaa wetu wa MSIMBAZI pale tuliposali na mwenyekiti wetu wa conference pastor malekana kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa kiwanja Cha kundi la MNADANI

Kundi letu jipya lilofunguliwa pugu MNADANI
23/03/2015

Kundi letu jipya lilofunguliwa pugu MNADANI

WAMEJIKABIDHI KWA YESU Katika kufunga sherehe za extravaganza Leo tumebatiza watu thelathini na tano.hapa tukifurahia us...
07/02/2015

WAMEJIKABIDHI KWA YESU
Katika kufunga sherehe za extravaganza Leo tumebatiza watu thelathini na tano.hapa tukifurahia ushindi pamoja na yesu

UFUNGUZI WA EXTRAVAGANZA Ilikuwa Siku njema tulipo tembelewa na makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshi...
06/02/2015

UFUNGUZI WA EXTRAVAGANZA
Ilikuwa Siku njema tulipo tembelewa na makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa dr Mohammed Garib Billal akiwa na president wa kanisa la wasabato ulimwenguni dr Teddy Wilson

UFUNGUZI WA MISSION EXTRAVAGANZA UWANJA MKUU TAIFA Leo ni ufunguzi wa sherehe za mission I extra VAGANZA zinazofanyika u...
04/02/2015

UFUNGUZI WA MISSION EXTRAVAGANZA UWANJA MKUU TAIFA
Leo ni ufunguzi wa sherehe za mission I extra VAGANZA zinazofanyika uwanja mkuu wa taifa dar es salaam

Address

Dar Es Salaam
P.O.BOX1350

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msimbazi SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share