TAG LANGO La UZIMA

TAG LANGO La UZIMA KARIBU UMWABUDU MUNGU PAMOJA NASI, TUNAMWABUDU MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI.

13/05/2026
13/05/2026

1 Wakorintho 9:16 - Maana, ijapokuwa naihubiri Injili, sina la kujisifia; maana nimewekewa sharti; tena ole wangu nisipoihubiri Injili!

16/04/2025

Leo ndio ile siku yetu nzuri tunayokwenda kuanza semina yetu ya ya PASAKA kwa siku 5. Ni katika kanisa la TAG Lango la Uzima, Viwege - kata ya Majohe, Dar es salaam. KARIBU SANA UJIFUNZE NENO LA MUNGU KIPINDI HIKI CHA PASAKA.
Mawasiliano: 0767373287
USIPANGE KUKOSA TAFADHALI.

16/04/2025
18/06/2024

Mwanzo 17 : 2 - Nami nitafanya agano langu kati ya mimi na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.

Mwaka huu kabla haujaisha Mungu azidishe: afya yako, uzao wako, uchumi wako, mipaka yako, kiwango chako cha elimu, kiwango chako cha kiroho, ulinzi kwa familia yako, fedha yako, chakula na vinywaji vyako, mtandao wa wanaokupenda, amani na furaha yako, na kila kitu unachopenda kiongezeke/kizidishwe kwako.

24/07/2023
Matukio ya mkutano wetu wa Injili katika picha siku yetu ya kwanza ya mkutano. Hakika Mungu yupo kazini anatenda Makuu. ...
24/07/2023

Matukio ya mkutano wetu wa Injili katika picha siku yetu ya kwanza ya mkutano. Hakika Mungu yupo kazini anatenda Makuu. Hujachelewa bado siku 14. Nyote mnakaribishwa. Kwa mawasiliano jinsi ya kufika piga simu: 0767373287

Tumeanza kwa kishindo, Hakika Yesu anaokoa!
23/07/2023

Tumeanza kwa kishindo, Hakika Yesu anaokoa!

Moto umewashwa Leo, hakika Yesu ni Bwana na Mwokozi, anaokoa hata Sasa
23/07/2023

Moto umewashwa Leo, hakika Yesu ni Bwana na Mwokozi, anaokoa hata Sasa

Address

VIWEGE, MAJOHE/DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam
0789278756

Opening Hours

Monday 16:00 - 18:00
Tuesday 16:00 - 18:00
Wednesday 16:00 - 18:00
Thursday 16:00 - 18:00
Friday 16:00 - 18:00
Saturday 14:00 - 18:00
Sunday 08:00 - 13:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG LANGO La UZIMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to TAG LANGO La UZIMA:

Share