Gospel Revival Assemblies Of God Banana

Gospel Revival Assemblies Of God Banana WAMWABUDUO MUNGU KWA ROHO NA KWELI

10/05/2026
Unakaribishwa sana, tafadhali usikose mpendwa, kwa wale walio nje ya Dar na Tz join kwenye Facebook kwa account GRA Chur...
17/01/2026

Unakaribishwa sana, tafadhali usikose mpendwa, kwa wale walio nje ya Dar na Tz join kwenye Facebook kwa account GRA Church na TikTok Isaack_44, hautajutia. Mliopo Dar karibuni kanisani Banana Farajani. Ukifika ulizia GRA Church utaletwa.

Our own Father 💪💪May Almighty God Protect you 🙏🙏.
06/01/2026

Our own Father 💪💪May Almighty God Protect you 🙏🙏.

Mambo yalivyokuwa mkesha wa mwaka mpya Gra Church
06/01/2026

Mambo yalivyokuwa mkesha wa mwaka mpya Gra Church

Photo collection by clemmowilliums

25/12/2025

Happy birthday to you Baba yetu Prophet Dk Issack Asajile, GRA Church tunamshukuru Mungu kwa kutupa wewe umekuwa baraka sana kwetu.

Tunakuombea Baraka tele, Neema izidi sana juu yako na Bwana Mungu akutunze kwa ajili yetu na Taifa la Tanzania.

We love you so much Dady.

Usikose hii fursa please- ni Jmos hii ya 6/9 - ukumbi wa GRA- Banana. Masomo mbalimbali ya ujasiriamali yatafundishwa.
02/09/2025

Usikose hii fursa please- ni Jmos hii ya 6/9 - ukumbi wa GRA- Banana. Masomo mbalimbali ya ujasiriamali yatafundishwa.

Our God is a Consuming 🔥 🔥🔥
06/08/2025

Our God is a Consuming 🔥 🔥🔥

Usiyakumbuke wala kuyatafakari mambo ya zamani, maana Bwana anakwenda kufanya jambo jipya  nalo litachipuka Soon! 🙏🙏 Qui...
06/08/2025

Usiyakumbuke wala kuyatafakari mambo ya zamani, maana Bwana anakwenda kufanya jambo jipya nalo litachipuka Soon! 🙏🙏 Quick recover Son of God.

Ni leo Kuanzia saa 12:00 jioni GRA Church- Vijana woote makutano yetu ni hapo, Kosa kwa hasara yako.Wapigaji wetu wameji...
22/05/2025

Ni leo Kuanzia saa 12:00 jioni GRA Church- Vijana woote makutano yetu ni hapo, Kosa kwa hasara yako.
Wapigaji wetu wamejipanga vizuri kukuletea Gospel Karaoke.
USIKOSEEEWE.
.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255718981515

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gospel Revival Assemblies Of God Banana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share