Kanisa la FPCT pentecoste madale

Kanisa la FPCT pentecoste madale Njoo kwa yesu upone

Tuwajari yatima na wajane k**a Mungu wetu anavyoagiza(yakobo 1:27)."karibu kanisa la fpct madale Dar es salaam" 🙏
25/09/2025

Tuwajari yatima na wajane k**a Mungu wetu anavyoagiza
(yakobo 1:27).

"karibu kanisa la fpct madale Dar es salaam" 🙏

Hakika leo imefanyika baraka kubwa kwa vijana wa fpct madale katika sherehe yao + kutegemeza mchungaji.
29/06/2025

Hakika leo imefanyika baraka kubwa kwa vijana wa fpct madale katika sherehe yao + kutegemeza mchungaji.

Imani bila utii hupunguwa viwango na utendaji kazi wa Mungu katika maisha yako, hivyo basi utii ni bora kuliko dhabihu. ...
19/06/2025

Imani bila utii hupunguwa viwango na utendaji kazi wa Mungu katika maisha yako, hivyo basi utii ni bora kuliko dhabihu. Ukiamin katika kristo jifunze pia kumtii.

Ishi maisha matakatifu ya kumtegemea YESU  upate kuishi kwa AMANI,UPENDO,FURAHA na mengine meengi mazuri yataambatana na...
18/02/2025

Ishi maisha matakatifu ya kumtegemea YESU upate kuishi kwa AMANI,UPENDO,FURAHA na mengine meengi mazuri yataambatana na wewe. Amina

Imani yako ijae matendo mema
28/10/2023

Imani yako ijae matendo mema

Unyenyekeapo mbele ya mkono wa Yesu utaish kwaaman
27/03/2022

Unyenyekeapo mbele ya mkono wa Yesu utaish kwaaman

Mungu ni mwema jengo letu limefikia hapoo.0684615751
08/02/2022

Mungu ni mwema jengo letu limefikia hapoo.
0684615751

Tusisahau kuwaombea wachungaji wetuu
02/01/2022

Tusisahau kuwaombea wachungaji wetuu

Kamwe wachawi hawatapata nafasi juu yako ukimwamin Mungu (YESU)
02/12/2021

Kamwe wachawi hawatapata nafasi juu yako ukimwamin Mungu (YESU)

Tunamshukuru Mungu kwahatua hii tuliyofkia ya ujenzi wa kanisa letu.K**a umeguswa wasiliana nas kuoptia 0684615751 na 07...
22/08/2021

Tunamshukuru Mungu kwahatua hii tuliyofkia ya ujenzi wa kanisa letu.
K**a umeguswa wasiliana nas kuoptia 0684615751 na 0788008774. Utabarikiwa

If trust in jesus & U love him say :YES√
09/01/2020

If trust in jesus & U love him say :YES√

Ni kansa lakiroho kabisaa tena halina janja janja! Mbarkiwe!
26/10/2019

Ni kansa lakiroho kabisaa tena halina janja janja! Mbarkiwe!

Address

Maendeleo Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255684615751

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa la FPCT pentecoste madale posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kanisa la FPCT pentecoste madale:

Share