16/08/2026
Maandalizi ya Kumpongeza Padrea Slyvesta Msemwa OCD wa Shirika la KARMELI, anayetimiza miaka ishirini na tano ya Utawa wake katika shirika.,Maadhimisho ya Jubilei hiyo yanatarajia kufanyika tarehe sita mwezi wa sita mwezi wa tisa mwaka huu.
Tuungane pamoja katika kumwombea baraka hizo Padre Slyvesta Msemwa OCD.