T.A.G Temboni Nazareth Church

T.A.G Temboni Nazareth Church Karibuni Sana hapa TAG TEMBONI tunawapenda Sana.

Please subscribe my channel
01/04/2024

Please subscribe my channel

Kumcha Bwana ndio chanjo cha maarifa

SEMINA INAENDELEA KESHO HAPA TAG TEMBONI UNAKARIBISHWA SANA
06/04/2023

SEMINA INAENDELEA KESHO HAPA TAG TEMBONI UNAKARIBISHWA SANA

UNAKARIBISHWA SANA KUHUDHURIA SEMINA YA NENO LA MUNGU,HAPA TAG TEMBONI. KUANZIA LEO ALHAMISI IJUMAA NA JUMAMOSI,MUDA NI ...
06/04/2023

UNAKARIBISHWA SANA KUHUDHURIA SEMINA YA NENO LA MUNGU,HAPA TAG TEMBONI. KUANZIA LEO ALHAMISI IJUMAA NA JUMAMOSI,MUDA NI SAA KUMI JIONI.

Hongera baba yetu.
28/01/2023

Hongera baba yetu.

Asante Mungu kwa kutupatia kibali Tena.
13/08/2020

Asante Mungu kwa kutupatia kibali Tena.

Bwana Yesu asifiwe,Wapendwa ndugu jamaa na marafiki. Tunauhitaji wa Dram hapa kanisani endapo Mungu amekubariki tunaomba...
03/06/2020

Bwana Yesu asifiwe,Wapendwa ndugu jamaa na marafiki. Tunauhitaji wa Dram hapa kanisani endapo Mungu amekubariki tunaomba msaada wako Sana. 0713489104

11/02/2020
Tafadhar naomba utazame video hii ni wimbo mzuri wa SHUKRANI hakika utaipenda
31/12/2019

Tafadhar naomba utazame video hii ni wimbo mzuri wa SHUKRANI hakika utaipenda

&MEDIA #+25576 &MEDIA ...

Maadhimisho ya miaka 80 ya idara ya CA's kitaifa, yameadhimishwa leo mkoani Iringa chini ya mpango kazi wa Kanisa la Tan...
29/06/2019

Maadhimisho ya miaka 80 ya idara ya CA's kitaifa, yameadhimishwa leo mkoani Iringa chini ya mpango kazi wa Kanisa la Tanzania assemblies of God,ambapo pamoja na sherehe hizo wamekabidhi gari kwa idara ya umisheni ambapo amekabidhiwa mmeshenari wa Burundi.

Address

Temboni
Dar Es Salaam

Telephone

+255713489104

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T.A.G Temboni Nazareth Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to T.A.G Temboni Nazareth Church:

Share