Efatha Ministry Kiluvya

Efatha Ministry Kiluvya Efatha Ministry Kiluvya ni Kituo cha Huduma ya Ukombozi na Maombezi. Tunapatikana Kiluvya Gogoni Barabara ya Morogoro, mita 500 kutoka barabara kuu.

Kusanyiko Kuu 2021Usipange kukosa. Tukutane Precious Centre Kibaha.
21/09/2021

Kusanyiko Kuu 2021
Usipange kukosa. Tukutane Precious Centre Kibaha.

Waefeso 5:14Mtu aliyelala anafanana na mfu, au Marehemu. Ili uweze kusonga mbele acha kuendekeza usingizi.Amka, usilale.
18/07/2021

Waefeso 5:14

Mtu aliyelala anafanana na mfu, au Marehemu. Ili uweze kusonga mbele acha kuendekeza usingizi.
Amka, usilale.

Ibada ya JumapiliMchungaji Feliciana MwingiraWaefeso 5:15-17Mungu alituumba na kutuweka hapa duniani kwa kusudi, ipo kaz...
04/07/2021

Ibada ya Jumapili
Mchungaji Feliciana Mwingira
Waefeso 5:15-17
Mungu alituumba na kutuweka hapa duniani kwa kusudi, ipo kazi ambayo ametuweka ili tuifanye.
Kila mmoja ana jambo ambalo Mungu ameliweka kwa ajili yake. Tunapaswa kuwa na UTII , na HEKIMA ili tuweze kuyafanya mapenzi ya Mungu.

Ibada ya Jumapili ya mwisho ya Mwezi wa Sita 2021 Efatha Mwenge. Hakika Mungu ni mwema.
27/06/2021

Ibada ya Jumapili ya mwisho ya Mwezi wa Sita 2021 Efatha Mwenge.
Hakika Mungu ni mwema.

Mchungaji Feliciana C.  Mwingira
26/06/2021

Mchungaji Feliciana C. Mwingira

Ibada ya kumuaga Super Mama Cosma Lupindo Mwingira. Watumishi wa Mungu wakitoa neno katika kumuenzi Super Mama. Precious...
26/06/2021

Ibada ya kumuaga Super Mama Cosma Lupindo Mwingira.
Watumishi wa Mungu wakitoa neno katika kumuenzi Super Mama.
Precious Centre Kibaha.

23/04/2021

Watumishi wa Mungu wakiimba na kufurahi uweponi mwa BWANA. Mbele kwa mbelee!!

WAJIBU NA MAPENZI YA MUNGUMch: Edgar CharlesKufanya mapenzi ya Mungu ni kumfurahisha Mungu. Wajibu na mapenzi ya Mungu v...
23/04/2021

WAJIBU NA MAPENZI YA MUNGU
Mch: Edgar Charles

Kufanya mapenzi ya Mungu ni kumfurahisha Mungu. Wajibu na mapenzi ya Mungu vinaendana pamoja.

Unapomshuhudia mtu mpaka akaokoka, unakua umefanya mapenzi ya Mungu, unapata furaha na amani ndani ya nafsi yako.

Sisi tuliochaguliwa na Mungu tuna wajibu wa kufanya mapenzi ya Mungu alietuchagua. Unapofanya mapenzi ya Mungu unastahili zawadi.

Wajibu unafanya kwa furaha sio kwa mawazo,unapofanya wajibu unaweza usipewe zawadi maana unatakiwa kuutimiza. Mfano kutumika kanisani huo ni wajibu na sio mapenzi ya Mungu.

Mama kuihudumia familia yake mfano, kufanya usafi, kuandaa chakula kulea watoto huo ni wajibu wake k**a mke. Vivyo hivyo Mume kutunza familia kulea familia huo ni wajibu wake.

Yohana 15:16-17Mungu anachagua kilicho bora kile kizuri, chenye thamani. Kuna sababu ya Mungu kukuchagua wewe kutoka huk...
23/04/2021

Yohana 15:16-17

Mungu anachagua kilicho bora kile kizuri, chenye thamani. Kuna sababu ya Mungu kukuchagua wewe kutoka huko ulikokua na kukuleta hapa ulipo.

Uchaguzi wa Mungu hauna upendeleo, haangalii k**a wanadamu wanavyoangalia, Mungu haangalii uzuri wa umbo, au mwonekano wa nje wa mtu, wala haangalii utajiri, umasikini, elimu wala mamlaka.

Upendeleo wa Mungu ni wa ajabu sana. Anaangalia hicho kilicho ndani kinachoweza kusaidia watu

Pastor: Edgar Charles Mwakipesile.

23/04/2021

SIFA:
Kwa Yesu hakuna kurudi nyuma. Ni mbele kwa mbele.

23/04/2021

Wewe Bwana ni sababu ya mimi kuishi. Katika ibada ya ukombozi kanisani Efatha Kiluvya

22/04/2021

Amen
Nyumbani mwa Bwana Efatha Kiluvya.

Address

Kiluvya Gogoni, Barabara Inayoelekea Hondogo
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 12:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Efatha Ministry Kiluvya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share