Faith Choir Moravian Church

Faith Choir Moravian Church CHOIR �
� Singing his Glory
� Join us Sunday 8:00Am
�Moravian Magomeni

19/02/2026

"Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA; dunia na wote wakaao ndani yake." ZABURI 24:1

Hallelujah! Mungu ni mwema kwetu sote katupa neema ya kufika  tukiwa wazima  tarehe 22 sept 2024  ambayo ni siku ya tama...
22/09/2024

Hallelujah! Mungu ni mwema kwetu sote katupa neema ya kufika tukiwa wazima tarehe 22 sept 2024 ambayo ni siku ya tamasha letu la GOSPEL OUTREACH. Tuna kukaribisha wewe na wengine wotee Njoo tulitukuje jina la bwana leo kuanzia saa 7 mchana hapa moraviani magomeni

SAVE THE DATE🗓
23/08/2024

SAVE THE DATE🗓






Kutumikia kwaya ni kujitoa kwa ajili ya wengine kwa upendo!❤😇Mungu wetu azidi kukubariki katibu wa kwaya yetu.— 2 Thimot...
22/08/2024

Kutumikia kwaya ni kujitoa kwa ajili ya wengine kwa upendo!❤😇Mungu wetu azidi kukubariki katibu wa kwaya yetu.

— 2 Thimotheo 1:7





Siku za Mazoezi 🗓Jumanne: 11:00 jioniIjumaa: 11:00 jioniJumamosi :11:00 jioni
21/08/2024

Siku za Mazoezi 🗓
Jumanne: 11:00 jioni
Ijumaa: 11:00 jioni
Jumamosi :11:00 jioni





We Glorify the name of  Jesus 🎶😇
15/08/2024

We Glorify the name of Jesus 🎶😇




ARE YOU READY?🥳🎶
01/08/2024

ARE YOU READY?🥳🎶







Mathayo 18:20 " Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao."Yesu krist...
31/07/2024

Mathayo 18:20 " Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao."
Yesu kristo yupo katika yetu karibu ujiunge nasi kwenye mazoezi ya kwaya🎶🌟






STAY CONNECTED WITH US🌍
29/07/2024

STAY CONNECTED WITH US🌍





Njoo Jumanne hii  kwenye Mazoezi tumtukuze  Mungu kwa njia Uimbaji🎶🔥  Muda : saa 11 :00 jioni ⏰Mahali: Moravian  Church ...
29/07/2024

Njoo Jumanne hii kwenye Mazoezi tumtukuze Mungu kwa njia Uimbaji🎶🔥

Muda : saa 11 :00 jioni ⏰
Mahali: Moravian Church Magomeni 📍






Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Faith Choir Moravian Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share