Kinondoni SDA Church

Kinondoni SDA Church KINONDONI SDA CHURCH - KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO KINONDONI Baada ya hapo kundi la Kinondoni miongoni mwa washiriki walioanzisha kundi hilo ni

Tumaini Y.

Kanisa la Waadventista Sabato Kinondoni limeanzishwa mwaka 1983 wakati chama cha Dorkas Kanisa la Magomeni kilivyofanya mahubiri ya wazi katika shule ya msingi ya Kinondoni. Mtana (Marehemu)
Joel Chagonja
Lazaro Katuma
Bertha Musiba
Dawson Mchome (Marehemu)
Philip Atiende
Japheth Nyarongo (Marehemu)
Peter Mkwizu
Esther Mkwizu
Anna Ndaro (Marehemu)
John Mbwana
Dina Ikwaabe
Joseph Ikwaab

e
Perucy Nyatega
Siphiwe Muze (Marehemu)
Elinda Makenge

kuendesha effort mwaka 2002 na mwaka 2004. Hivyo basi kanisa letu limejenga kanisa la Ziwani kwa gharama ya shillingi million ishirini tu (20m/=) mnamo mwaka 2007. Wachungaji waliowahi kulihudumia kanisa ni k**a wafuatao:-
· Mch.B.Malongoza
· Mch.G.Mbwana
· Mch.J.Japheth
· Mch.S.Mganga
· Mch.B.Nyerembe
· Mch.J.Manguruta
· Mch.E.Sabuni
· Mch.S.Ngusa
· Mch.M.Twakaniki
· Mch.E.M.S.Tirumanywa
· Mch.W.G.Mshana
· Mch.R.Nkoko
Kanisa pia linatarajia kuendelea na upanuzi wa kazi ya injili ili kutenga makundi na hatimaye yawe makanisa kamili pia. Sambamba na kanisa na kazi ya injili,kanisa linaendelea na utafutaji wa viwanja kwa ajli ya ujenzi wa makanisa.

23/01/2026
Usipange kukosa mbaraka huu....Karibuni sana.
05/01/2025

Usipange kukosa mbaraka huu....Karibuni sana.

Matukio mbalimbali yaliyofanyika katika ufunguzi wa Makambi ya Mtaa wa Kinondoni ambayo yanaendelea wiki hii.
26/06/2024

Matukio mbalimbali yaliyofanyika katika ufunguzi wa Makambi ya Mtaa wa Kinondoni ambayo yanaendelea wiki hii.

Kwaya ya Njiro kutoka Arusha ikihudumu katika Makambi ya Mtaa wa Kinondoni.
24/06/2024

Kwaya ya Njiro kutoka Arusha ikihudumu katika Makambi ya Mtaa wa Kinondoni.

Address

Wakulima Road, Kinondoni
Dar Es Salaam

Website

http://www.kinondonichoirsda.blogspot.com/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinondoni SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share