Karismatiki Katoliki CCCF-City Catholic Charismatic Fellowship

Karismatiki Katoliki CCCF-City Catholic Charismatic Fellowship Official page for City Catholic Charismatic fellowship Dar es salaam Karismatiki Katoliki CCCF jina rasmi ni City Catholic Charismatic Fellowship (CCCF). Yosefu.

Ni kikundi cha Sala cha Karismatiki Katoliki kilicho chini ya Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam. Kikundi hiki kilianzishwa mwaka 2009, na kinafanya huduma zake chini ya ulezi wa Parokia Kuu ya Mtakatifu Yosefu, Posta, katikati ya Jiji la Dar es Salaam. CCCF inalenga kuwawezesha waamini wote, hasa wale wanaofanya kazi au biashara katikati ya jiji, kushiriki katika sala, mafundisho, mahubiri, kusi

fu, kuabudu, na shughuli nyingine za kiroho kwa ajili ya kumtangaza Yesu Kristo. Malengo Makuu ya CCCF:
Kuimarisha imani kwa waamini wote. Kujenga umoja wa Kanisa la Kristo. Kupanua wigo wa Injili kwa makundi mbalimbali, ikiwemo vijana, watoto, na watu wenye mahitaji maalum. Kubuni njia za kisasa za uenezaji wa Injili. Majukumu Yetu:
Tumeitwa na kutumwa kuwaongoza watu wa mataifa yote kwa Yesu Kristo bila kujali dhehebu, dini, rangi, kabila, au nafasi zao katika jamii. Tunatii agizo la Bwana wetu Yesu Kristo:

“Basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi...”
(Mathayo 28:19-20)

Mahali Tunapokutana:
Ukumbi wa CCCF, Ghorofa ya 3 – Jengo la Matsalamat, karibu na Kituo cha Mwendokasi Jiji Posta au Kanisa Kuu la Mt. Ratiba Yetu ya Sala:
Kila Jumatano, kuanzia saa 11:30 jioni. Karibu Ujiunge Nasi
Tufuatilie kwa semina, mafundisho, maombi, na msaada wa kiroho. Piga simu kwa maelezo zaidi. Usisahau ku-subscribe na kutembelea kurasa zetu zote kwa ajili ya mafundisho zaidi na ujumbe wa wokovu.

Madhara ya kuwa na Mawazo Hasi.Ndugu zangu imekuwa k**a mazoea kuwa na mawazo mawili moja baya na lingine nzuri.Mfano mt...
13/10/2024

Madhara ya kuwa na Mawazo Hasi.

Ndugu zangu imekuwa k**a mazoea kuwa na mawazo mawili moja baya na lingine nzuri.

Mfano mtu anatuma maombi ya kazi halafu anajisemea sijui k**a nitapata hii kazi.

Siku ya Leo Mungu anakuambia anakuwazia mawazo mema. YEREMIA 29:11

Kwa nin usiwaze hii kazi nakwenda kuipata. Sasa k**a unawaza utaikosa kwa nin ujisumbue kwenda kwenye usaili.
Basi tubadili mtazamo kwa kuwa nanmawazo mema, mawazo ya kupata, na kuishi na hili neno kutoka Yeremia 29:11.

09/10/2024

*MSIFU MUNGU ANAVYOSTAHILI*

"Ni nani awezaye kutaja matendo ya MWENYEZI MUNGU? Ni nani awezaye KUMSIFU k**a ANAVYOSTAHILI?" (Zaburi 106:2)

matendo mangapi Mungu amekutendea tangu ulipoanza mwezi Januari 2024?

mkono wa Mungu katika maisha yako mwaka huu 2024?

kwa habari ya afya yako, watoto wako, maisha yako kwa ujumla, amani uliyokuwa nayo, ndugu na marafiki wanao kujali. Mke na mume wako ambaye yupo na wewe nyakati zote.

mengi ambayo Mungu amekuvusha mwaka huu hadi umeona mwezi huu wa Oktoba 2024.

, umeyakumbuka matendo makuu ya Mungu katika maisha yako?

hayo ambayo Mungu amekutendea umeweza KUMSIFU MUNGU k**a anavyostahili?

kutangaza Matendo makuu ambayo Mungu amekutendea?

unaona ni jambo la kawaida tu.

ya leo tafakari yale ambayo Mungu amekufanyia katika maisha yako.

k**a unapita katika nyakati ngumu bado mkono wa Mungu ni mkubwa sana kwenye maisha yetu.

zaidi ya kusema ASANTE sana Mungu kwa wema na fadhili zako.

wengine wamenusurika kufa kwa magonjwa, wengine wamenusurika ajali, wengine kuna bado kuna changamoto.

na yote jifunze kuona wema wa Mungu katika maisha yako na ukamsifu k**a anavyostahili.

Na

*Vareliano Ulrick Mtundu*

Karibu Ujisajili na kuthibitisha ushiriki wako katika SEMINA YA WANAUME NA VIJANA WA KIUME.Bonyeza Link hii na ujaze taa...
24/11/2022

Karibu Ujisajili na kuthibitisha ushiriki wako katika SEMINA YA WANAUME NA VIJANA WA KIUME.

Bonyeza Link hii na ujaze taarifa fupi na utakuwa umeshajisajili.

https://forms.gle/197LvXjifH8QHMGcA

WARMLY WELCOME.

Karibuni
14/08/2022

Karibuni

05/08/2022
🔥🔥🔥THE NIGHT OF GLORY🔥🔥🔥City Catholic Charismatic Fellowship (CCCF) imeandaa ibada ya kumsifu na kumwabudu Mungu.SIKU: I...
02/08/2022

🔥🔥🔥THE NIGHT OF GLORY🔥🔥🔥

City Catholic Charismatic Fellowship (CCCF) imeandaa ibada ya kumsifu na kumwabudu Mungu.
SIKU: Ijumaa 5/8/2022
UKUMBI: Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Julius Nyerere International Convention Center)
MUDA: Saa 12:00 jioni ibada ya misa
Saa 3:00 usiku ibada ya kusifu na kuabudu

*HAKUNA KIINGILIO. NAFASI NI CHACHE. BOOK NAFASI YAKO MAPEMA *

Kujisajili kupitia link hii hapa chini

https://bit.ly/3NZIoA8

Kwa maelezo zaidi piga namba 0718111377
Agape Centre Habari

🔥🔥🔥THE NIGHT OF GLORY🔥🔥🔥City Catholic Charismatic Fellowship (CCCF) imeandaa ibada ya kumsifu na kumwabudu Mungu.SIKU: I...
01/08/2022

🔥🔥🔥THE NIGHT OF GLORY🔥🔥🔥

City Catholic Charismatic Fellowship (CCCF) imeandaa ibada ya kumsifu na kumwabudu Mungu.
SIKU: Ijumaa 5/8/2022
UKUMBI: Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Julius Nyerere International Convention Center)
MUDA: Saa 12:00 jioni ibada ya misa
Saa 3:00 usiku ibada ya kusifu na kuabudu

*HAKUNA KIINGILIO. NAFASI NI CHACHE. BOOK NAFASI YAKO MAPEMA *

Kujisajili kupitia link hii hapa chini

https://bit.ly/3NZIoA8

Kwa maelezo zaidi piga namba 0718111377

Address

Ghorofa Ya 3, Jengo La Matsalamat, Mansfield Street
Dar Es Salaam
11101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Karismatiki Katoliki CCCF-City Catholic Charismatic Fellowship posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share